Kwa hali hii wanaoshabikia huyu mtu kuendelea kukaa ikulu kwakweli wakapwime akili
 
Hii nchi inapoelekea ni kubaya
Tayari nchi ipo shimoni, kwenye hali mbaya sana. Viongozi walioapa kulinda nchi, maslahi ya Taifa kama Usalama, Mahakama, Polisi, jeshi, bunge, ikulu wote sasa wamegeuka na kugeuzwa.

Wanalinda maslahi ya binafsi ya Samia, familia yake, mafisadi wenzake, machawa wake na maslahi ya Zanzibar, ukibisha, kuwa mzalendo unatimuliwa. Ndio maana amebadilisha sana wakuu wa TISS hadi alipompata fisadi mwenzake.
 
Ziko humu humu
Watu wako nchi za nje na VPN wame repost
Hahaha mlitaka muone peke yenu jamani, kuzuri mna shear na ndugu zenu humu huo ndio uungwana.

Tuwekee nasi tuzione basi.
 
Hizo picha zimepostiwa X zamani twitter na mwenye nazo, sjui ulimrushia wasap au kwa bluetooth, lawama unawala JF wakati ziko kila kona.
Bibi chaudele ubongo wake ni mdogo sana,
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…