Kuna haja nami nipate ka mwaliko state hausi nipatepo hapo tupicha twa kuonyesha wajukuu.
 
MI mgeni hapa jamvini msaada tafadhali
Hayo image yako wapi
 
Maadili ni yapi sasa kwani alipiga akiwa anatoa tende au hizo picha zikoje kwa mlioziona?
 
Watanzania qa mitandaoni wamechafukwa, maselo yatajaa wanajf sana!!
 
Haya maswali yako sidhani kama yanajibika.
 
Hiyo picha ya pili, jamaa anachat na simu mbili. Katikati ya kuchat akipata nafasi between chats, sekunde mbili, tatu anamsikiliza Samia. Nani Rais wa nchi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…