Huyu mama na ikulu yake ndiyo yenye makosa, yaani apige picha yeye halafu ifungiwe website? HUU NI UONEVU MKUBWA. JF haina kosa lolote, hii ni free platform na kila mtu anatoa mawazo yake kwa uhuru. Huyu mama anaficha nini kama hizo picha ni legit, yaani anawatuma mbwa zake akina Msigwa wafungie website wakati uelewa wao ni mdogo. Kwani hizo picha za huyo Chidwell siyo za kweli? Waache uonevu punda hawa.
 
Hivi huyu Rais wa Tanzania hana mume? Kama hana hata ndoa... Tumefikaje hapa? 😡🤬
Historia halisi ya maisha yake imefichwafichwa sana. Wake wenza wenzake na watoto wao hatuwajui, elimu yake tunadanganywa, wazee wake hatuwajui. Ameolewa au ameachika.

Ni rahisi kuwa na conflict of interest vitu vikiwa gizani.
 
Huyu jamaa kaenda Ikulu zaidi ya mara 3?
Ona nguo tofauti
 
Aliyetoa wazo kutoka TCRA kufungiwa kwa JF ndiye aliyemdhalilisha zaidi mgombea wa CCM. Ametoa mwanya kwa watu wengi kufuatilia hizo picha na kuzi term in negative way. Nafikiri wangeanza na huyo jamaa aliyeona kama anajenga kumbe anabomoa. Uchawa ukizidi unaharibu mambo badala ya kujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…