Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Mama ana wapenda sana watu wa kasikazini, ameenda kule mara mia, Magufuli ali wanyanyasa sana, aliwa tenga, sasa tume pata mtu wa kuwa unganisha, Mama ana fungua nchi kwahiyo wa Maasai wote wotoke tena kwa mtutu waende sehemu wajuao wao kutafuta makazi mapya, tena for free, hatutaki mchezo TUNAFUNGUA NCHI.
 
We niMwarabu wa wapi mkuu??
Hakuna ardhi ya masai Tanzania Ni vizuri kuhamishwa
 
Wamasai wasiwe wabishi, wameshatengewa eneo la kuhamia shida nn? Wanyama hawawezi kuishi na binadam over!
Fair enough....

Basi wasidanganye kwamba kuhama ni hiari.

Samia administration's stated policy is kuhama ni hiari. Majaliwa alisemea bungeni.

Muendelezo wa hulka za uongo za Kassim Majaliwa.

Aliwahi kuliambia taifa nimetoka kumuona Magufuli akichapa kazi, mnataka aonekane wapi, Magomeni? Kesho yake akafa.

Na anaongopeaga bungeni na misikitini. Kufuru!

Astakafululillah ladhim
 
Hili taifa ni swala la muda tu,,,,UKWELI huwa haujifichi....

Watu wameweka maslahi yao mbele kuliko maslahi ya taifa.
 
Hakuna haja ya kuitana fala...
Mimi sio mjuaji bali nimejaribu kulitazama hili jambo kwa macho makali ambayo wewe huna.
Next time jitahidi kutumia lugha nzuri...nadhani tupo pamoja....

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Jiwe mbona alivunja nyumba za watu maeneo mengi tena kukiwa na zuio la mahakama na mlikaa kimya tu na leo hii tunazifurahia barabara. Acheni serikali ifanye kazi yake
 
Simply stages picture
Polisi amekufa halafu hizi ndo picha za watu waliounizwa? Mostly maumiv ni kidogo, wale wa2 wa mwisho wenye maumivu mengi, imeonekana damu zaidi kuliko vidonda, the typical type of staged pictures.
Sorry, but tukio hili haliuzi sana, huwez fananisha na story za kuchinjana za wakulima na wafugaji, madha
 
Mgema akisifiwa,....................
Yajayo yanatisha zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…