Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 2,233
- 3,144
Ndiyo, nilimaanisha ‘pointers’.Nafikiri ulimaanisha pointers, not ponters. Silijuhi, hakuna hili neno neno kwenye lugha ya Waingereeza.
Wazo lako ni zuri. Muhimu record zote live, on crowd.
Mimi sijali kama watakana au watakiri.Juzi wamepiga waliokuwa wanaenda mahakamani mchana kweupe wakiwa na uniform zao video zipo wakipiga watu wandishi wahabari lakin walikana kabsaa sio wao
Unafikir ukifunga camera 📷 kwako hawatakana
Tatizo hawavai uniform wakija kwako
Kwa hiyo watakana
Solution ni kuandamana kila mtu atoke road
🤔 🤔 🤔 💭Soon itakuja sheria kudhibiti matumizi ya camera za usalama majumbani kama ilivyoletwa kwenye drones!
Mpaka kibali cha mamlaka na leseni ulipie kila mwaka hivyo watajua kabla hawajakufuata,kama umeweka wanakuvizia barabarani kama yule kada wa CCM kule Mwanza mwenye CCTV nyumbani kakamatwa barabarani akitoka jogging.
🤔 🤔 🤔 💭Nitarudia tena leo.....
Kijana ukiona umeanza kufaidika/kunufaika na uanaharakati ulio kinyume na dola jua mauti yu nyuma yako.
Wana usalama wenye sareAskari polisi au askari kwa kifupi...
Ahaa mi nilidhani kwamba uweke kamera ili ukiisha waona uwapeleke polisi au mahakamani.Watu mna mindset za kichovu na kiunyonge sana.
Kwa mtaji huo watu wataendelea kupigwa kizembe zembe sana kwa sababu watesi wanajua wanadili na watu waoga.
So what kama polisi wakikataa kuwa wao ndo wanaoonekana kwenye video? Unategemea mhalifu akubali tu kirahisi rahisi?
Cha msingi kama mhalifu ndo yeye anayeonekana kwenye video, akubali au akatae kuwa ndo yeye, hiyo hainihusi.
Kinachonihusu ni mimi kujiridhisha ni nani na nani waliohusika halafu nitajua mwenyewe cha kufanya.
Ahaa mi nilidhani kwamba uweke kamera ili ukiisha waona uwapeleke polisi au mahakamani.
Tanzania hii polisi na mahakama ziliishakufa, ni ajira na taaluma za watu lakini lengo liliishapotea, ndio maana na msingi wa comment yangu.
Ila kama unaongelea kudeal na wahalufu mlalomlsli au wima wima hapo sawa kabisa.
Sasa kuna jamaa yangu ana miliki biashara, alijiongeza akanunua ka bastola, siku moja polisi waliovaa kiraia wakamtishia maisha baada ya kukataa kupekuliwa mzigo wa dukani .
Walibishana sana na wakamtolea bastola, akanywea akawaomba achukue taarifa za mzigo kwenye gari wakakubali akatumia mwanya huo naye akaitoa yake yeye akafyatua risasi juu wakakimbia na bastola yao wakaidondosha.
Akaiokota akaipeleka kituoni na kuandikisha maelezo.
Kesho yake kaamka amezingirwa na polisi nyumbani kwake wanataka silaha yake kwamba kawatishia polisi.
Sasa kufupisha story walimnyang'anya bastola.
Nchi ipo salama, itasambaratika tu pale chadema wakichukua (ahsante Mungu hilo halipo tu kwani hata dalili ya hilo haijaonekana hata kwa 1%). Mijitu yenye chuki ya kikanda na inayohubiri utengano ni mishenzi sana isiyofaa kupata hata udiwani.Utani utani tu Kuna siku hii nchi itakuwa si sehemu salama kwetu wote.Mama kakausha,ni kama vile mzanzibar aliyetumwa kuiharibu Tanzania bara.
Nenda kwenye tovuti yao uwaulize.Hiyo GoFundMe unajiungaje?!! Wanaruhusu mwenye shida ya nyumba kama Mimi kuomba?!!!! Nina shida ya kibanda hatari.
Wakija wamevaa vitambaa usoni ? Utamjua? Kwani na wao vilaza hivyo?kikubwa mtu kujikita ktk ibada kwa sisi waislam kwani maisha haya dunia hata upewe Tanzania yote na vilivyomo vyote basi hutoridhika na utataka upewe na Kenya , ndio hulka ya binaadam. Kama huwezi kukinai basi haya ndio utakayofanyaYes.
Wana uzembe flani hivi ambao inabidi waufanyie kazi.
Polisi wanakuja wamevaa vitambaa usoni?Wakija wamevaa vitambaa usoni ? Utamjua? Kwani na wao vilaza hivyo?
Polisi wanavamia usiku wa manane na kuvunja mlango?Polisi wanakuja wamevaa vitambaa usoni?
Ni ujinga kudhani wataua kina mdude wote tanzania.ni ujinga kufikiri hivyo.Diaspora kazi yao ni kushauri kisha wala vumbi muingie field kutekeleza.
Mdude angechanganya na zake diaspora wasingemponza.
Diaspora wanakujza hasira unaingia kupambana na dola unapoteza uhai wako wao wanarudi mitandaoni kuonesha wamesikitika sana.
Sijui. Mi siyo polisi.Polisi wanavamia usiku wa manane na kuvunja mlango?
Kama wewe uliokuwa Ulaya unaogopa hivyo , aliopo chunya atafanyajeSijui. Mi siyo polisi.
Zanzibar wanavaa hivyo wanapokwenda kuteka watu. Wenyewe wanawaita mazombie.Polisi wanakuja wamevaa vitambaa usoni?