Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Msimvue nguo jamani, takula wapi mimi?
mkuu hata kama watu 11 nchi ya watu million 60+ hata ninyi mmeshindwa kujiorganize mkafika hata hamsini? si moo wengi sana wana ccm na wazee wa mi5 tena ?....huoni kama ni betrayal kwa mtu ambae mnasema amegusa maisha ya watu kwa 90% kuangaliwa na watu 11 tu ?..Ndio wapiga kura hao? Fanya mambo ya maana utakufa maskini kwa upumbavu huo. Huo ni nguchiro watu wanamshangaa, Samia ni Rais wa nchi hawawezi kufanana kwa lolote
Kama ni hivyo mbona unatumia energy kubwa kuja hapa ku reply?Sasa Polepole ana tofauti gani na Mange,Kigogo na wazushi wengine?
Huyo ameona akiwa anatumia Jina la Rais Kwa kuzusha atapata viewers wengi na atatengeneza maisha.
Masuala ya uzushi ni chakula Cha wajinga na mambo ya kiserikali ni Kwa Ajili ya watu wa serikalini na wale makini wanalotumia fursa za serikali kutengeneza maisha.
Mfano Mimi binafsi ni followers wa karibu akaunti zote za serikali na Baadhi ya viongozi ila hao nimewataj awali sifuatiliagi chochote Kwa sababu uzushi hauongezi content Zozote kwenye akili yangu.
Huu ndio ukweli mchunguHuyo mama hakubalili ni cheo tu ndicho kinambeba.
Ndio wapiga kura hao? Fanya mambo ya maana utakufa maskini kwa upumbavu huo. Huo ni nguchiro watu wanamshangaa, Samia ni Rais wa nchi hawawezi kufanana kwa lolote
Na tiktokHao ni YouTube tu alikuwa live Instagram,na Clubhouse pia
Ku reply kunahitaji energy kubwa ipi? Si ulitaka kujua sababu au? Ndio nimekupa sababu au unazo za kwlo kichwani? 😆😆Kama ni hivyo mbona unatumia energy kubwa kuja hapa ku reply?
Aliyeongoza mpango wa Mauaji ya Hayati JPM ni Kikwete. Nitalisema hili daima mileleSlowslow anaua huku, aiseeee hiii marathon sio ya kitoto. Kwahio Magufuli aliuwawa na wana Mtandao?
Energy inatumika kufikiria maneno ya ku type na muda unoutumia kujibu. Huwezi kufanya hivyo kwa mtu asiye na uzito kwako.Ku reply kunahitaji energy kubwa ipi? Si ulitaka kujua sababu au? Ndio nimekupa sababu au unazo za kwlo kichwani? 😆😆
Kwamba niachie ku mfollow Rostam nijifunze biashara ila ni WA follow kina Polepole ,Mange & Cos? Nitakuwa kama wewe Sasa.
wewe na Polepole nani mzushi endeleeni kubana miguu chakubanga "anawamwagia ndani"Sasa Polepole ana tofauti gani na Mange,Kigogo na wazushi wengine?
Huyo ameona akiwa anatumia Jina la Rais Kwa kuzusha atapata viewers wengi na atatengeneza maisha.
Masuala ya uzushi ni chakula Cha wajinga na mambo ya kiserikali ni Kwa Ajili ya watu wa serikalini na wale makini wanalotumia fursa za serikali kutengeneza maisha.
Mfano Mimi binafsi ni followers wa karibu akaunti zote za serikali na Baadhi ya viongozi ila hao nimewataj awali sifuatiliagi chochote Kwa sababu uzushi hauongezi content Zozote kwenye akili yangu.
Content yangu Haina uzushi huyo Slowslow ameamua atengeneze hela Kupitia nyie wajinga.wewe na Polepole nani mzushi endeleeni kubana miguu chakubanga "anawamwagia ndani"
Duu utakuwa na akili ndogo kama kuku ndio maana unakamatwa kizembe na wazushi kina SlowslowEnergy inatumika kufikiria maneno ya ku type na muda unoutumia kujibu. Huwezi kufanya hivyo kwa mtu asiye na uzito kwako.
muda utaongea acha kupiga mayowe, uvccm mnatumika kama kopo la msalaniContent yangu Haina uzushi huyo Slowslow ameamua atengeneze hela Kupitia nyie wajinga.
sikukuu ya wakulima, yeye ndo anafunga pazia leo.huyo anaongea nn huko 88 maana sina hata taarifa
Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best eneweiView attachment 3435671View attachment 3435672
Anapima upepo;Naona saivi kasoma JF kaona abadilike. Leo katimia hardly 1 hr.
Alikuwa anapuyanga sana.
Kabakisha kimoja tu. Kujikita kwenye maslahi ya Taifa na sio ya CCM.
Akifanya hayo atapata total support ya Wananchi.
Nashangaa taifa letu kuongozwa na mtu bogus kabisa. Ni msiba mzito huu.Hao ni YouTube tu alikuwa live Instagram,na Clubhouse pia