Yaani nichome Mb kumsikiliza Rais wa viti maalumu
wanawake wako m18 daaahYaani mkuu huenda hata hao CCM wako wanamfuatilia Polepole wakamwacha Mama Yao peke yake
Cha ajabu nini hapo; kwa polepole Kuna umbea unaoshadadiwa na wasio na kazi na wenye chuki na Samia (hapa wanafahamika kuwa ni chadema) wakati Huku kwa Raisi watu wapo viwanjani hapo alipo, wengine maelfu kwa Malaki wapo kwenye viwanja mbalimbali na familia zao kujionea mafanikio ya kilimo yaliyofikiwa na mama Samia. Pumbavu kweli haya machadema.Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best eneweiView attachment 3435671View attachment 3435672
Lakini mbona anajua vizuri tu kuwa wewe ni shoga!!! Sasa utasemaje hajui lolote?Utasikiliza nini Raisi asiyejua lolote
Na sasa yuko kwenye mchakato wa kujichagulia wapinzani ili ajichague kua rais!!!Yaani nichome Mb kumsikiliza Rais wa viti maalumu
😂😂😂 Huo ukweli unaousema sio tishio ndo unafanya mitandao kuzimwa mara Kwa mara .Cha ajabu nini hapo; kwa polepole Kuna umbea unaoshadadiwa na wasio na kazi na wenye chuki na Samia (hapa wanafahamika kuwa ni chadema) wakati Huku kwa Raisi watu wapo viwanjani hapo alipo, wengine maelfu kwa Malaki wapo kwenye viwanja mbalimbali na familia zao kujionea mafanikio ya kilimo yaliyofikiwa na mama Samia. Pumbavu kweli haya machadema.