Duuuh Watanganyika mna maneno😂🤣😅Yaani nichome Mb kumsikiliza Rais wa viti maalumu
Ndio wapiga kura hao? Fanya mambo ya maana utakufa maskini kwa upumbavu huo. Huo ni nguchiro watu wanamshangaa, Samia ni Rais wa nchi hawawezi kufanana kwa lolotePress conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best eneweiView attachment 3435671View attachment 3435672
Mto wa mbu kamdomo faza 😂😂 kamdomoYaani nichome Mb kumsikiliza Rais wa viti maalumu
Sifa ya kiongozi ni kuwa influential Kwa watu... Sio cheo unachobandikwa na huwezi kupeleka taifa kuachieve goals zozote za maanaNdio wapiga kura hao? Fanya mambo ya maana utakufa maskini kwa upumbavu huo. Huo ni nguchiro watu wanamshangaa, Samia ni Rais wa nchi hawawezi kufanana kwa lolote
Sasa Polepole ana tofauti gani na Mange,Kigogo na wazushi wengine?Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best eneweiView attachment 3435671View attachment 3435672