Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

Sasa Polepole ana tofauti gani na Mange,Kigogo na wazushi wengine?

Huyo ameona akiwa anatumia Jina la Rais Kwa kuzusha atapata viewers wengi na atatengeneza maisha.

Masuala ya uzushi ni chakula Cha wajinga na mambo ya kiserikali ni Kwa Ajili ya watu wa serikalini na wale makini wanalotumia fursa za serikali kutengeneza maisha.

Mfano Mimi binafsi ni followers wa karibu akaunti zote za serikali na Baadhi ya viongozi ila hao nimewataj awali sifuatiliagi chochote Kwa sababu uzushi hauongezi content Zozote kwenye akili yangu.
Acha upumbavu wewe. Atatengeneza maisha wakati alikuwa anakula ulaji kwa cheo cha ubalozi.! Kama Unadhani ubalozi ni cheo kidogo, mbona wewe haupewi!?
 
Hoja yake umeielewa.?
Kabla ujapanic Soma tena na uelewe vizuri

Kwanza ujue mtu kuangalia hao wote lazima atumie ela kununua data,

Sasa jiulize why watu wengi wametoa ela kumsikiliza pole pole na sio kumsikiliza Rais?

Pia jiulize mtu wa chini ya miaka 18 anaweza kumsikiliza pole pole?

Jibu ni no,

So hao watu ambao wako live kwa pole pole tufanye ndio wapiga kura haha

Na uchaguzi uko huru na haki
Ujue ata kujenga hoja hujui mazee unaweka vitu nusu nusu
 
Acha upumbavu wewe. Atatengeneza maisha wakati alikuwa anakula ulaji kwa cheo cha ubalozi.! Kama Unadhani ubalozi ni cheo kidogo, mbona wewe haupewi!?
Wewe ndio mpumbavu,ingekuwa kwenye ubalozi Kuna hela Kila mtu angekumbilia huko.

Huyo ni mwanasiasa alizoea kunyenyekewa ameona huko hakumtoshi Bora arudi.kwenye.siasa.kwa staili ya kutunga uongo na uzushi Ili kuiponda Serikali na Rais ambae hamkubali apate viewers atengeneze maisha.

Wewe Kwa upumbavu ulioiaza kichwani Kwa hao viewers anapata hela sawa na ya ubalozini?
 
mkuu hata kama watu 11 nchi ya watu million 60+ hata ninyi mmeshindwa kujiorganize mkafika hata hamsini? si moo wengi sana wana ccm na wazee wa mi5 tena ?....huoni kama ni betrayal kwa mtu ambae mnasema amegusa maisha ya watu kwa 90% kuangaliwa na watu 11 tu ?..
Yaani mkuu huenda hata hao CCM wako wanamfuatilia Polepole wakamwacha Mama Yao peke yake
 
Sifa ya kiongozi ni kuwa influential Kwa watu... Sio cheo unachobandikwa na huwezi kupeleka taifa kuachieve goals zozote za maana
Ana uhakika gani huyo jamaa kuwa hao watu 6.5k sio wapiga kura WA INEC ? Mvuto ni Moja ya sifa Kwa kiongozi
 
Halafu huyo mbwa alivyo mchawi akajikosha kwenye mazishi "eti yeye ndiye aliyempitisha Magufuli". Mshenzi kabisa. Laana yule.
Hata pale msibani alijikanyaga sana kwenye kuzungumza.... Mzee Mwinyi alimfunika kwenye kuongea.....
 
Naona saivi kasoma JF kaona abadilike. Leo katimia hardly 1 hr.

Alikuwa anapuyanga sana.

Kabakisha kimoja tu. Kujikita kwenye maslahi ya Taifa na sio ya CCM.

Akifanya hayo atapata total support ya Wananchi.
Mpaka sasa alishapata total support ya wananchi labda kama una chuki zako binafsi.
 
Back
Top Bottom