Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Vyura vya kihansi ndiyo maajabu ya dunia vyura vilipelekwa marekani tukashindwa gharama za kuvihudumiaYote ya Moto. Tension ya hadhira ni kusikia majibu ya hoja za Polepole ambazo kimsingi hazijibiki. Wakikaa kimya watu wanapigia mstari
Dahh amefanyaje kwani...π³Tabia mbaya we babu lol! πΉ
Natamani unitumie PM vipande nilivyokosa ila dah.!!
Ile siyo nyomi ya kweli, ni maigizo.
Watu wamesombwa kutoka maeneo mengi, hadi kutokea mikoa mingine hata ya mbali kama Arusha.
Watumishi, walimu, wanafunzi, nk, kuhudhuria kwa lazima.
Wasanii kukodiwa kutumbuiza ili kuvutia wapenzi wao..
Miongoni mwa atakayozungumza:
1. Biashara za Rostam Aziz
2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam
3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki
4. Wezi wanakoficha pesa
5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini
6. Code aliyotoa JK Kawe kwenye uzinduzi wa kampeni
7. Miradi 4 ya 2020
8. Tathmini ya deni la Taifa
9. Kiini macho cha ahadi za CCM kwenye uchaguzi wa mwaka huu na utekelezaji wake
10. Uteuzi Haramu wa Rais Samia
11. Uhuru wa vyombo vya Habari
Muda: Saa
Kikubwa bando na chaji.Nyieeeeeeereeeeeeeeeee
Mungu huyu wetu sote
Mungu awarehemu mliopotezwa
Tukiwabeba kwa Canter and Fuso kama mkaa wa kutoka Mkuranga, bila shaka watajitokeza !Sasa hao hao ndo wapiga kura. Tujiulize sisi wengine tunaweza kushawishi watu kwa wingi huo wakutupigia kura?
Mijitu kama hii kuijibu ni kujivunjia heshimaπππ Dah nchi ngumu hii,ko na wewe bwana tundu Antipas lissu umeskitika sana kilichomkuta ndugu jiwe
Nimeuuliza tu mkuu ππ,Mijitu kama hii kuijibu ni kujivunjia heshima
Tukio Moja, muda mmojaContradiction?...
Vijana ni jeshi imara, Babu zao tunawategemea kwenye hiliKweli,
Enough is enough!!