GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watazima mitandao
 
Sisi tunataka atuambie wapi alipo Ben Saanane. Hayo mengine ni kama story za ma ex tu.
Wewe na nani? Kwa Nini husemi unataka kujua aliko Mdude na wengine? Kwani ambaye kapotezwa ni Ben tu?

Ukisema huna interest na hayo mengine jisemee wewe! Mimi nataka kusikia yote maana ni ya muhimu. Kama unaona hilo unalotaka si miongoni mwa atakayozungumza, usimsikilize, wengine acha wasikilize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…