Pole pole anaongea na umma na wadau wa uchaguzi. Umma ndo wenye nguvu kubwa ukijua vizuri jambo fulani na ukiamua kulipinga. Wanasiasa peke yao hawawezi bila kutushirikisha umma.Asante mkuu 'Fanfa'.
Sasa tatizo si lipo hapa! Ni wao ndio wenye uamzi wa kuyakubali au kuyakataa mapendekezo hayo aliyotoa Polepole.
Sasa fikiria mwenyewe, jambo rahisi kama kufanya tu "marekebisho" wanayoyadai CHADEMA ikawa nongwa, na sasa tunakwenda kwenye kampeni za uchaguzi.
Polepole anayo nyenzo gani ya kuwafanya wasitishe jambo ambalo ndilo linawahakikishia ushindi?
Hiyo ndio ilikuwa maana yangu ya kusema "Tutawafanya nini"?
Kumbuka wameshika kila kona: Mahakama, wateule wote kwenye taasisi za maamuzi; na zaidi ya yote, mitutu ya akina Jumanne Mulilo!
WaTanzania wafanye nini ili hayo aliyo pendekeza Pole pole yafanyiwe kazi?
NIDA na CCM ni kitu kimoja....namshukuru Mungu sijawahi kupoteza muda wanguInamaana kweli NIDA hawajui Servers zao zimedukuliwa na Ma CCM???
Vipi amejua baada yakumtoa mkono kwenye sahani?
Kama kweli upo basi muasisi wa mfumo niyeye kenge huyu
Hatuna Tume ya UCHAGUZIAibu tume ya uchaguzi
Wakuu, Kuna jambo Kalisema Polepole, ila linapuuzwa ili kuonekana halina maana, ukweli ni kua UCHAGUZI HAUNA MAANA TENA KWA JAMBO HILI.
Wakuu kuanzia Leo nimemaini TUNDU LISSU ni NABII WA MUNGU , kama alivyokus Mussa.
LISSU amekomaa sana kwenye Mkutano kuhusu Servers za Tume ya Uchaguzi, LISSU kasema tunataka Vyama vya Siasa turuhusiwe kukagua , inawezekana LISSU alikua analisema bila kujua chochote na bila utaalam wowote.
Leo POLEPOLE kaliweka wazi hili , CCM walotengeneza Mfumo wa kikomoyuta ambao una Link Taarifa za Mfumo mitatu yaan CCM +NIDA+NEC , Kwa kuunganisha Mifumo hii mitatu, CCM WANAUHAKIKA WA KUZALISHA USHINDI WA KURA MAPEMA KABISA HATA KABLA YA UCHAGUZI.
Polepole ameomba Mungu amsamehe kwani Kwa Sasa ni kiumbe Kipya .
WAKUU ITOSHE KUSEMA, TUMEUMIZWA SANA NA CCM, LEO NMESHIKWA NA HASIRA SANA, KUMBE WATANZANIA WANAPOTEZA MUDA KWENDA KUPIGA KURA, KUMBE KURA YA MTANZANIA NI TAKATAKA MACHONI MWA CCM, KUMBE CCM MPAKA MIDA HUU TAYARI WAMESHASHINDA UCHAGUZI MKUU.
Kiufupi Ndugu zangu, HAKUNA UCHAGUZI, CHADEMA TUKOMAE NA NO REFORMS NO ELECTION!!!
Kujuwa ni vizuri, ili kuelekeza juhudi kwenye kuzuia.Moderators msifute Nyuzi hizi Wala kuziunganisha.
Tusaidiane Kwa pamoja kuhakikisha Watanzania nwanayafahamu haya.
HII KASHIFA NI KUBWA SANA NA AMBAYO INAVIPA SABABU VYAMA VYA SIASA KUTOSHIRIKI TENA UCHAGUZI MKUU WOWOTE .
pole pole kasema tusikubali kwenda kwenye uchaguzi mpaka tufanye uchunguzi wa namna hizi system zilivyokuwa intagrated(hii ishue ishirikishe vyama vyote), tutegue hicho kitendawili ndio twende kwenye uchaguzi ikiwa pamoja na kufanya reforms. Anamaanisha NO REFORMS NO ELECTION...Kasemaje mkuu, naomba unidokeze tu kwa kifupi kama hutojali!
Tuanzie wapi?
Hili ni swali muhimu kwangu, naomba usinichukulie kama mmoja wa wahuni humu mtandaoani. Naomba tu jibu.
Ile kauli ya kujitapa kwamba CCM haitegemei vijikaratasi viwapeleke au kuwaondoa ikulu sasa ndiyo maana yake imeeleweka.Wakuu Taarifa zetu za NIDA zinaibiwa na CCM na Kutumiwa Kuiba Kura.
Kumbe Jeuri ya Samia na CCM yake ni Kwasababu wanamfumo unaoiba Taarifa .
Tume ya Uchaguzi wahuni WAKUBWA, wanatupa Idadi Feki ya walojiandikisha kupiga Kura.
Hao wanaingizwa kichakani wazima wazima na kila kinachowapa unafuu wa maumivu wanakibeba kilivyoUna hoja Sana ila wanavyojibu ndo maana tunaitwa nyumbu
Hata Mimi nimebaki kujiuliza how mfumo uibe wakati kura zinahesabiwa ndani ya chumba mbele ya mawakala
Najua CCM wanaibaga kura Ila labda uniambie kwavituo hewa,rushwa kwa mawakala n.k
Hili la inec na NIDA sijalielewa
Napata taabu sana kumpongeza Polepole, kwa sababu alikuwa ni sehemu muhimu ya tatizo. Ninachoweza kufanya ni kumshukuru tu kwa kulitoa mbele hili na kulifanya liwe wazi.Pole pole anaongea na umma na wadau wa uchaguzi. Umma ndo wenye nguvu kubwa ukijua vizuri jambo fulani na ukiamua kulipinga. Wanasiasa peke yao hawawezi bila kutushirikisha umma.
Polepole anawaambia umma ushenzi unapofanyikia. Tumpongrze na tumuunge mkono.
Siku ukijua unatumika utajilaumu sanaWewe jidanganye, maneno ya polepole wenzako tumeyachua, narudia maneno tumeyachukua.
Unaweza ukawa na "sehemu" ya hoja,ila CCM ndiyo kirusi hatari!Hawa watu hawafai.Watoke!Waislamu ni watu waovu sana..!
Ongeza na kauli ya Nape akiwa bukoba iliyomfanya aondolewe kwenye uwaziri na ile ya goli la mkonoIle kauli ya kujitapa kwamba CCM haitegemei vijikaratasi viwapeleke au kuwaondoa ikulu sasa ndiyo maana yake imeeleweka.
Tusiwe wepesi wa kubeba kila kitu tuwe wadadisi wa maswali magumu piaCcm hamuwezi, kusafishika, kwa, dhambi zenu,hata kwa, damu, ya kristo!
Kama, bado upo kwenye denial kuhusu uovu wa ccm, inabidi wakuwaishe hospital ya vichaa milembe
Ninakubaliana naye. Lakini mchakato huo anaoupendekeza yeye ni nani atausimamia, wakati wenye mpango wao wakiwa hawataki kufanya hivyo?pole pole kasema tusikubali kwenda kwenye uchaguzi mpaka tufanye uchunguzi wa namna hizi system zilivyokuwa intagrated(hii ishue ishirikishe vyama vyote), tutegue hicho kitendawili ndio twende kwenye uchaguzi ikiwa pamoja na kufanya reforms. Anamaanisha NO REFORMS NO ELECTION...