Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We dogo tumia common sense. Lissu analeta upinzani gani kwa JPM? Kwa mkutano kama wa Bagamoyo jana unaweza kusema analeta challenge zozote.
Wanalazimisha wanafunzi wafuruke kwenye mikutano ya ccm ili ionekane wanapendwaEti CCM inafanya kampeni kisayansi my foot!!! ... ili kukusanya watu CCM inafikia mpaka kufanya mikesha ya burudani, kinyume na sheria za NEC, zinazotaka mikusanyiko ya kampeni ikome kabla jua halijazama!
... yote hii ni kuonyesha wanaungwa mkono ili watakapofunga goli la mkono tusiwashtukie! ... JAMANI TULINDE KURA ZETU, KUFA NA KUPONA!Wanalazimisha wanafunzi wafuruke kwenye mikutano ya ccm ili ionekane wanapendwa
Challenge zipo kwenye huo mkutano wa bagamoyo? Napenda nijue kipimo cha challenge kwako kipo kwenye idadi ya watu watu, au ni kipi kinazungumzwa? Inabidi nianzie kwenye uelewa wako kwanza.
Polepole is good for the foolsKama hamna mfumo wa bei sukari ilikuwaje, Polepole ni lopolopo tu
Hoja gani za msingi ambazo anazitoa huyu mgombea wa chama cha Mbowe? Inaingia akilini kuwaambia wananchi kuwa wasimchague JPM kisa atabadili katiba ili aongeze muda wa kukaa madarakani?Challenge zipo kwenye huo mkutano wa bagamoyo? Napenda nijue kipimo cha challenge kwako kipo kwenye idadi ya watu watu, au ni kipi kinazungumzwa? Inabidi nianzie kwenye uelewa wako kwanza.
DaahMapuuza yamealikana kama yote halafu yanaongea utopolo tupu
Anakosa hoja ,kauli mbiu ya ACT na CUF anazitafsiri kama ndo za chadema ,anaziponda kauli mbiu zao kwa kujifanya kama ndo za chadema ,jamaa mropokaji sana
Safi sana kama Kweli Membe kaachia usukani rasmi kwa Rais Tundu Lissu.Ni huyu ?
View attachment 1566146
Pumbavu! kisa tuu wao ndowanaongelea mazuri ya chadema.Tanzania waandishi wa habari ni wawili au watatu.
Jenerali Ulimwengu.
Hamza Kassongo.
Dotto Bulendu.
Uandishi wa habari kwa sasa hauna tofauti na upolisi.
Zero na daraja la 4 la mwisho ndio wanakimbilia upolisi na uandishi wa habari.
Atakayepinga aweke ushahidi.
Watu huwa wanakuheshimu sana mkuu, usiwe mwepesi wa kutumia lugha za namna hiyo Mshana JrMapuuza yamealikana kama yote halafu yanaongea utopolo tupu