Uchaguzi 2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

Uchaguzi 2020 Polepole: Kuna mgombea mmoja amekimbia yupo nje ya nchi, ameona maji yamemfika shingoni. CCM tunafanya kampeni za kisayansi

Huyo maembe kakimbia moto wa Lisu nyie ccm mnataka kudandia wakati hamna lolote 🤣🤣
CCM mnaogopa kumjibu Lisu ila mnajikuta mnaropoka kumlenga sababu ndio ncha kali mliyoikalia... Eti sisi hatutumii chopa
 
Yaani bidhaa hazijapanda bei?? 2015 wkt awamu hii inaingia sukari ilikuwa sh 1800 kwa kg 1, unga ilikuwa sh 600 lkn leo hii kg 1 sh 1200 ..mchele ilikuwa sh 1000 hadi 1300 kwa kg 1 ..maharagwe ilikuwa kg1 sh 1400 hadi 1600 lkn leo hii kg 1 ni sh 2800 ..unaposema umedhibiti cjui mpk hapo unakuwa umedhibiti nn ..
 
Nimeridhishwa kwa kiasi kikubwa sana na maelezo yaliyotolewa na Ndugu H. Polepole.
 
We dogo tumia common sense. Lissu analeta upinzani gani kwa JPM? Kwa mkutano kama wa Bagamoyo jana unaweza kusema analeta challenge zozote.

Challenge zipo kwenye huo mkutano wa Bagamoyo? Napenda nijue kipimo cha challenge kwako kipo kwenye idadi ya watu watu, au ni kipi kinazungumzwa? Inabidi nianzie kwenye uelewa wako kwanza.
 
Eti CCM inafanya kampeni kisayansi my foot!!! ... ili kukusanya watu CCM inafikia mpaka kufanya mikesha ya burudani, kinyume na sheria za NEC, zinazotaka mikusanyiko ya kampeni ikome kabla jua halijazama!
 
Kumbe huu uongo ndio wanamjaza Magufuli
Eti hakukuwa na mfumuko wa bei miaka 5 [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana kwenye kampeni akikuta wananchi wanazomea anataka kususa
 
1. Viwanda 8600 viko mikoa gani na mpaka sasa vimeajiri wafanyakazi wangapi?
2. Kwanini mtoa ajira za walimu wakati huu wa kampeni amuoni kuwa hiyo hongo kwa wapiga kura?
3. Inakuwaje mgombea wenu aagize barabara flani ianze kutengenezwa kipindi hichi cha kampeini kwani miaka yote 5 hawakuwahi kuiona?
4. 2015 ccm ilitangaza tz itakuwa ya viwanda, viwanda vyenyewe viko wapi unaweza kututajia baadhi walau kwa kila mkoa una viwanda vingapi
 
Challenge zipo kwenye huo mkutano wa bagamoyo? Napenda nijue kipimo cha challenge kwako kipo kwenye idadi ya watu watu, au ni kipi kinazungumzwa? Inabidi nianzie kwenye uelewa wako kwanza.


Huyo hawezi jua maana ya challenge kabisa.
 
Takataka tu. Mtaani hakuna pesa leteni hela hatutaki blah blah
 
Challenge zipo kwenye huo mkutano wa bagamoyo? Napenda nijue kipimo cha challenge kwako kipo kwenye idadi ya watu watu, au ni kipi kinazungumzwa? Inabidi nianzie kwenye uelewa wako kwanza.
Hoja gani za msingi ambazo anazitoa huyu mgombea wa chama cha Mbowe? Inaingia akilini kuwaambia wananchi kuwa wasimchague JPM kisa atabadili katiba ili aongeze muda wa kukaa madarakani?
 
Tanzania waandishi wa habari ni wawili au watatu.

Jenerali Ulimwengu.
Hamza Kassongo.
Dotto Bulendu.

Uandishi wa habari kwa sasa hauna tofauti na upolisi.
Zero na daraja la 4 la mwisho ndio wanakimbilia upolisi na uandishi wa habari.
Atakayepinga aweke ushahidi.
Pumbavu! kisa tuu wao ndowanaongelea mazuri ya chadema.
 
Back
Top Bottom