Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

🚮🚮🚮🚮 Mbinu za mwisho za kumpigania mtu wao waliotarajia awe Rais kama SSH asingekaza.

Sasa kichaka ni kutumia jina la Mwendazake.

Unadhani Mwendazake hatakiwi kufa Kwa sababu ni Rais au?

Awataje basi hao wa bahasha sijui vitu gani na upuuzi mwingine wa hivyo.
 
Mbona amewataja......Ni wanamtamdaowa Rostam ,JK. Nchimbi n.k....na wanaweza hata kumkill presidaa ili kurudisha genge lao rasmi kama zamani
 

Kwa hivyo kumwambia Samia asigombee urais sio kumdamage?. Mnaioverate Sana hiyo TISS kumbe hakuna kitu.
 
Mbona amewataja......Ni wanamtamdaowa Rostam ,JK. Nchimbi n.k....na wanaweza hata kumkill presidaa ili kurudisha genge lao rasmi kama zamani
Wanawezaje wakati alikuwa na Kila aina ya walinzi na ulinzi?

Huonihizo ni porojo za Kisiasa sawa na Timu tuu ambayo imepoteza mechi kutoa lawama?

Kuna ushahidi mwingine wowote anao zaidi ya kupigania kundi lake?
 
Kwa hivyo unaamini Polepole ni stategist, lakini hizo strategy huzijui?

Unaamini katika mikakati ambayo huijui na haiko hadharani?

Sasa kama Polepole anakudanganya tu ana bluff hana mpango wowote wa maana wa kumzuia Samia utajuaje?
Tuipe muda. Hadi sasa, Polepole tayari ametoa ramani ya nini kinapaswa kufanyika, na tuna hadi mwezi Novemba.

Kama mambo hayatakuwa yamebadilika kufikia wakati huo, basi tutakuwa na sababu ya kusema ameshindwa. Lakini kwa sasa ni mapema mno kuhukumu. Ni takribani mwezi mmoja tu tangu ajitokeze wazi na kujiengua kutoka kwenye nafasi ya ubalozi.

Hakuna mtu aliyetarajia angeanza kwa kulaani moja kwa moja utawala uliopo, na mpaka sasa, hakuna mwingine aliyefikia kiwango hicho cha ukosoaji wa waziwazi isipokuwa Tundu Lissu. Kwa hiyo, mkuu, tuwe na subira.
 
My diagnosis: SCHIZOPHRENIA+++
... just look at the contorting face as he 'HALLUCINATES' (LIVE) in this video!
😅 NB: MUWAHINI DAWA!
 
Turudi hapa November.

Akishindwa kumzuia Samia kuwa rais kama anavyotaka utasemaje?

What is Plan B?
 
Polepole angechaguliwa kua makamu wa Rais angesema Aya njaa tu Nchimbi huyo amabae ni makamu kwa sasa kipindi kile cha Lowassa anakatwa alilalamika utaratibu haujafutwa. Leo yeye ni makamu bila kufuata taratibu unaweza kuona kwamba njaa tu
Sijaelewa, unamaanisha balozi anapokea laki sita au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…