Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

Tatizo liko wapi? Mfa maji huyu hana lolote zaidi ya kubwabwaja. Hawa na Magufuli walijifanya miungu watu. Pumbavu kabisa.

Kama umekwama kimaisha usidhani kuwa maneno ya Polepole yatakukwamua. Fanya kazi au endelea kumsikia mpumbavu huyo
Mbona umekuwa chawa wa wapumbavu na hatuja kusema,ila katika tu wale unao wakera.?
 
Hapa anawataarifu wahusika kuwa anataarifa zao.Na wenyewe wanasgituka kwamba kumbe huyo dogo ana taarifa aisee..so kama walikuwa wanapuuzia wanakaa sawa. na ukiona chama kime kaa kimya kwa suala kama hili linaloendelea kwa polepole labda wanahitaji tafakari kubwa zaidi kabla ya kukabiliana na tuhuma hizo.Ila jambo moja muhimu ni kujua kwamba usalama uko hatarini.Ni mhimu kumtegemea Mungu wake kwa asilimia 100
 
Magu nae alikua fala ujanja mwingi mbele giza ndo maana Kila siku alikua anasema wananchi tumuombaee amejitoa kwa ajili ya mwananchi wa chini simpigi kwenye ilo yeye na Makamu wake walikua wanaishi kinafiki sana mpaka wakasema Makamu anataka kujiuzulu kwa nini aliendelea kua na Makamu yuleyule na walishakosana? Magu alikua ujanja mwingi still ambao hauna msingi alishindwa nini kutwambia mwananchi kwamba kuna Moja mbili tatu. Polepole pia nae sio wa kumwamini
 
Mange Hana kiapo chochote kama Polepole
 
Rasmi namuona Polepole atakuwa wanted kama Mange,yeye anakuwa hatari zaidi Polepole kwasababu anajua mengi ambayo akiyasema,atachafua hali ya hewa nchini,hiki alichokisema leo anaweza kuwa calculated kama treason
 
Muache achukue hiyo fomu tujue ukweli. Je ni nani huyo aliyetajwa kama tax driver?? Je ni nani aliyekuwa akimtuma?? Je alikuwa akitumwa wapi?? Je ni kina nani na wana nguvu gani walio nyuma ya HP??
hiyo code wahusika wanajua na pili kuna mtu ataki kumtaja ni mwanamtandao akimdusa ata kuwa kagusa nyeti inaweza kumpa tabu
 
Kweli kabisa. Na ukiishaona ona mtu anaongea anasema hata fulani alisema hivi na yule akaniambia vile na hana ushahidi huyo ni fala, mjinga na mpumbavu!
 
Teh teh teh

Kisa hajaenda chadema?

Kwahiyo pole pole fala aliesababisha kufa kwa upinzani miaka kadhaa iliyopita akiwa mpiga zumari wa jiwe leo anageka shujaa kwenu siyo?
Mpina fala polepole nae kinachomtesa hayuko jikoni njaa tu Mpina jiulize asingekatwa na Mama angeenda ACT kugombea Urais Mpina huyo kenge Maji ukimuuliza sasa kwamba urais unaweza kushinda hawezi kukupa jibu lakini Ubunge angalau tunasema angeweza hata kushinda au kuleta ushindani mimi ni mzalendo wa nchi tu
 
Information is power, acha atupe kidogo kidogo maana sie watz wengi vichwa vyetu ni singo phase
 
Labda aliogopa kawa wewe unavyotumia ID Fake humu
Polepole angechaguliwa kua makamu wa Rais angesema Aya njaa tu Nchimbi huyo amabae ni makamu kwa sasa kipindi kile cha Lowassa anakatwa alilalamika utaratibu haujafutwa. Leo yeye ni makamu bila kufuata taratibu unaweza kuona kwamba njaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…