Hiyo Upanga ni kwa nani?Kuna kipindi RA alikuwa ndio mweka hazina wa chama, wahuni aka La Cosa nostra sio watu.
HP anasema shughuli za chama hazifanyiki Lumumba, bahati mbaya kaitaja mpaka Upanga.... hahahaha.
ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan.
Muajemi sio?Amejua ndiyo sababu ametoka hadharani Kwa uwoga kupiga mayowe, maana kama angekuwa siyo factor angenyamaza kimya...Amejua si kawaida tena!
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Nyazifa kwenye chama ndio hoja, na ndicho alichosema Rostam. Nionyeshe kwenye organization structure ya CCM ubunge uko wapi,Unaongea nini wewe Magufuli, alikuwa mbunge zaidi ya miaka 20 wa kuchaguliwa na wananchi kupitia CCM huu mfano wako hata haufanani.
Ridhwan kikwete alikua mbeya 1992 kwenye mkutano wa chipukizi wa CCMswali la kitoto sana hilo...
huo ni mmoja wa "misamiati" ya wajanja wachache kwenye siasa kulinda maslahi yao...
Ntwk na kuwa na nasaba na CCM vinahusiana nini!... uwezo wenu wa kiakili mdogo sana ndiyo maana mnaburuzwa na wahuniSS wanahangaika nn mpk kushut down ntwk km Hana nasaba na ccm?
SI wampotezee tu
Stupid argument,kubwaga manyanga hakuondoi yeye kuwa na nasaba na ccmYeye kilichomkimbiza kwenye ubunge awamu ya nne ni nini?
Sasa kama ana nasaba na ccm angebwaga manyanga nafasi zote za ccm?
Polepole hakusoma siasa shuleni bali uraia, watanzania wengi wanaijua CCM lakini hawana nasaba nayoAdangqnye watoto wa siku hizi labda.
Enzi zetu tulikuwa na somo la siasa kwa kwa hiyo tulizisoma ahadi kumi za Tanu na kuzikariri.
Sasa kama vyama vingi vimekuja 1992. nina hakika Polepole si mtoto kiasi cha kutoijua ccm kama anavyosema Rostam
Umeanzia 2005 badala ya 1995, unaogopa utamtia dole la macho mtakatifu na sarakasi zake?.
Ukute yeye Rostam na genge Lao ndio sehemu ya uharibifu wa misingi ya ccm wakishirikians na Kikwete wake walipoingia Madarakani 2005.
Mitandao ya kuhujumiana imeanza kipindi hicho.
Walimuhujumu vipi Salim!?..kumuita hizbu!?..kambi yake ingesema tu Salim siyo hizbuNani asiyekumbuka walivyomhujumu Dr. Salim Ahmed Salim Kwa kumtengenezea scandal za uongo.
Yaani kama kura ikiitishwa sasa hv huko CDM nani awe Chairman, Slowslow anashinda Asubh tuRostam yupo sahihi. Cha kufurahisha watetezi wa Polepole ni wafuasi wa Chadema wamemsahu kabisa Lissu😂
😁😁😁😆Hili nalo FISADI tu linatetea mafisadi wenzake ndani ya ccm wakiongozwa na zee la msoga, kwamba tuendelee kuwaona watu wale wale kila siku kwenye chama na serikali?? Magufuli aliamua kuleta damu mpya na kizazi kipya, ila hili jizi lililokubuhu halikuelewa somo ***** zake. Majitu kama hili inatakiwa bongo kitokee kikundi cha kuwasanula mmoja mmoja na AK 47 hadi hiki kizazi kiishe chote ndio nchi itapiga hatua.
Dr. UlombokaKipindi cha jk mbona mambo yao yakienda bila kutekana?
Vinahusiana nn?Ntwk na kuwa na nasaba na CCM vinahusiana nini!... uwezo wenu wa kiakili mdogo sana ndiyo maana mnaburuzwa na wahuni
Kwani wakati Rostam analeta Voda hapa na kupewa hisa 30% ulikuwa bado uko Makunduchi???DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Hapana, tuliwaita waburushiEnzi zetu tuliwaita Maponjoro
Sasa ulitaka Ridhiwan Kikwete awe Chipukizi wa Chadema au NRA ?Ridhwan kikwete alikua mbeya 1992 kwenye mkutano wa chipukizi wa CCM
Polepole oktoba 2015 hakuwa mwana CCM...
Polepole hana nasaba na CCM na wala haijui
WamangaHapana, tuliwaita waburushi
wqnufaika wq rasilimali za nchi wameanza kujitokeza baada ya masilahi yao kuanza kuguswa, polepole endeleea kuwachokonoa watatoka wote
View: https://www.instagram.com/reel/DM5x8glx9yA/?igsh=MXJzaGFvcTl1ZXR3ZA==
Nimemsikiliza aliye wahi kuwa mweka hazina wa CCM na mbunge wa Igunga bwana Rostam Aziz ana mengi ya kusema kuhusu Humphrey Polepole.
Anasema hizi mila na desturi nzuri ndani ya chama zinaingelewa na mtu ambae hajawahi kuwa ndani ya CCM aliibuliwa tu na kupewa u katibu wenezi.
Kubwa zaidi kumbe Magufuli alifariki akiwa cha nchi taabani kiuchumi.!
Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000Tabia za kushambulia watu baada ya hoja uwa ni Ujinga
Wewe uko shimo gani?Naona wahuni taratibu mnaanza kutoka kwenye mashimo yenu mliyokuwa mnayatumia kujificha.