Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Sasa waliouawa hukuwaona? Waliotekwa hukuwaona? Waliporwa mali hukuwaona? Waliopambikiziwa makesi Ya kijinga hukuyaona, maneno ya Magufuli ya Ukabila, Ubaguzi, kebehi na matusi na kukanyaga katiba kila Siku hujamuona? Hujasikia?Sema maMbo ukiwa na ushahidi kamili, vinginevyo huo ni uzushi ingawa wanasheria wanaweza kukwambia huoni UCHOCHEZI!
Wanasiasa uchwara 'cheap politicians are easily bought and sold'Mimi huwa nawaita wanasiasa njaa
Baada ya tarehe 28 Oktoba, mtakuja na nyimbo mpya za kuibiwa kura, na kudai tume huru.Sasa unasema wabunge watano wakati mikoa kumi wabunge wote ni CHADEMA? Acha kukariri wewe, upende kujiaminia kuiba, wenzio wanajua kuwa hawana chao ndio maana wanatumia tume kuokoa jahazi wewe unasema ujinga, ndio Abood angetumia mabilioni kumzuia yule mdada wa Moro mjini? Wenzio wanajua ndio maana wagombea wa CCM wameacha kampeni wanahangaika kuwahonga wasimamizi wasimamishe
Mwaka huuu hataiba Mkuu, ndio maaana hata yeye anahangaika majukwaaani na kutoka jasho anahofu Sana kuwa hali sio sawa Kwa kutegemea kuibaBaada ya tarehe 28 Oktoba, mutakuja na nyimbo mpya za kuibiwa kura, na kudai tume huru.
Wewe usietaka kutafuta mkate wa kila siku, kaa utaletewa.Mkate wa kila siku.
PLPL yeye ndiye uelewa wake wa mambo mdogo sana 'Kuendesha nchi siyo kama familia ama kampuni'Na Tundu Lisu wala asipoteze muda wa kumjibu huyu mchumia tumbo lake maana tumeshamjua Ni kilaza Fulani ambae haiwezi kusimamia Jambo lake mwenyewe
Yawezekana hata kodi hutoi. Polepole anafaya ufafanuzi wa kina ili Watanzania wafanye maamuzi ya busara, JPM aendelee kuijenga nchi kwa manufaa ya nchi.Pole Pole kachanganyikiwa anatukana tukana tu kwenye TV Ya taifa, anatumia kodi za watanzania kuongea na TV Ya taifa masaa Yote anayoyataka huku watendaji wa taasisi za umma wamemwandalia documents za uongo nyiiiiiingiiii, sasa mwambie kuwa hicho tu cha kutumia kodi za watanznaia kuongea na TV Ya taifa Kwa kod zetu huku ukimuuliza atadanganya kuwa wamelipia huo ni ufisadi kuliko huo anaotolea ufafanuzi
Heeee unataka aendelee kuuuwa watanzania wenzetu? Tunauchungu na watanzania wenzetu babu weweeeeYawezekana hata kodi hutoi. Polepole anafaya ufafanuzi wa kina ili Watanzania wafanye maamuzi ya busara, JPM aendelee kuijenga nchi kwa manufaa ya nchi.
Hakuna mziki WOWOTE, sana tutasikia kelele za akina AMSTERDAM waliomtuma Lissu aseme uongo kwa watu wachache wasioelewa ukweli wa mambo. Kwa waliouwa niliwaona ikiwa ni pamoja na WANGWE na SAANANE! Ukabila anauzungumzia Lissu kwa kukumbatia hoja ya AMSTERDAM ya kuigawa nchi kwenye MAJIMBO.Sasa waliouwawa hukuwaona? Waliotekwa hukuwaona? Waliporwa Mali hukuwaona? Waliopambikiziwa makesi Ya kijinga hukuyaona, maneno Ya magufuli Ya Ukabila, Ubaguzi, kebehi na matusi na kukanyaga katiba kila Siku hujamuona? Hujaasikia?
Sisi tumeamua ni lisu tunamsubiri akaibe aone mziki wake
Akikujibu nitag maana swali gumu hiloEti Lowassa alijinyea kweli ktk kampeni za 2015??
Maendeleo gani unaleta Wakati anauuwa watu? Anabagua watu? Anatukana watu, anadhalilisha watu? Ameanzisha kikundi cha kigaid na kukipa jina la wasiojulikana? Hukumbuki kuwa huku tarime kilijaribu kutaka kumteka Peter zakaria kikanyoshwa? Baada Ya kunyoshwa kikajulikana kikabadili jina angani kikajiiita usalama? Chezea tarime wewe babu hata wewe ukijifanya unakuja huku tutakushikisha adhabu kenge weweYawezekana hata kodi hutoi. Polepole anafaya ufafanuzi wa kina ili Watanzania wafanye maamuzi ya busara, JPM aendelee kuijenga nchi kwa manufaa ya nchi.