Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Uchaguzi 2020 Polepole: Upinzani wamekuwa mstari wa mbele kutumia uongo kama nyenzo ya kampeni, adai Lissu ana tatizo la 'memory'

Sema maMbo ukiwa na ushahidi kamili, vinginevyo huo ni uzushi ingawa wanasheria wanaweza kukwambia huoni UCHOCHEZI!
Sasa waliouawa hukuwaona? Waliotekwa hukuwaona? Waliporwa mali hukuwaona? Waliopambikiziwa makesi Ya kijinga hukuyaona, maneno ya Magufuli ya Ukabila, Ubaguzi, kebehi na matusi na kukanyaga katiba kila Siku hujamuona? Hujasikia?

Sisi tumeamua ni Lissu tunamsubiri akaibe aone mziki wake
 
Hahahah eti kweli katibu mwenezi unafurahia mtu kwa kuenguliwa kisa kuandika DSM badala Dar Es Salaam.
 
CCM yamebaki makopo tu saa hii. CCM ilikua ya kinaba bana🤔🤔
 
Sasa unasema wabunge watano wakati mikoa kumi wabunge wote ni CHADEMA? Acha kukariri wewe, upende kujiaminia kuiba, wenzio wanajua kuwa hawana chao ndio maana wanatumia tume kuokoa jahazi wewe unasema ujinga, ndio Abood angetumia mabilioni kumzuia yule mdada wa Moro mjini? Wenzio wanajua ndio maana wagombea wa CCM wameacha kampeni wanahangaika kuwahonga wasimamizi wasimamishe
Baada ya tarehe 28 Oktoba, mtakuja na nyimbo mpya za kuibiwa kura, na kudai tume huru.
 
Kila wanapozungumzia uwanja wa Chato lazima wadivert point. Ei Mpanda kuna abilia wengi. Issue hapa ni Chato Mr. Polepole. Mbona hawasemi kuhusu abilia wa Chato au lini Bombardier itatua Chato Airport mwaka huu. Kama siyo X-mass tena kama mipango yao na NEC ikifanikiwa!!
 
Hivi nani ana tatizo la Memory Kati ya Lissu na Magu?...eenh wajameni
 
Baada ya tarehe 28 Oktoba, mutakuja na nyimbo mpya za kuibiwa kura, na kudai tume huru.
Mwaka huuu hataiba Mkuu, ndio maaana hata yeye anahangaika majukwaaani na kutoka jasho anahofu Sana kuwa hali sio sawa Kwa kutegemea kuiba
 
IMG_0168.jpg


Lissu kazia hapo hapo Polepole katoka shimoni kuja kumtetea mgombea wa CCM na bado kaharibu zaidi.
 
Ni kweli viwanja vina jengwa sehemu nyingi. Sisi tunauliza, utaratibu wa ujenzi wa kiwanja cha Chato uko sawa na ujenzi wa hivyo viwanja vingine?

Mkandarasi alie jenga uwanja wa Chato alipitishwa na nani? Je hakuna maslahi kati ya mkandarasi na Jpm?

Je? Sheria za manunuzi zina semaje? Jibuni hilo acheni kusema watu wana sema uongo wakati nyie Ccm ndio waongo na kupenda kuongoza kijanjajanja.

Mpanda uwanja majani hadi ofisini au tukuwekee picha?

Mbona mmekaa kimiya kuhusu ranchi? Mbona kimya kuhusu watu kuuwawa na askari wa TANAPA na kutupwa lake victoria?? Je viwanja hivyo vingine navyo ni vya Kimataifa?
 
Polepole kachanganyikiwa anatukana tukana tu kwenye TV Ya taifa, anatumia kodi za watanzania kuongea na TV Ya taifa masaa Yote anayoyataka huku watendaji wa taasisi za umma wamemwandalia documents za uongo nyiiiiiingiiii, sasa mwambie kuwa hicho tu cha kutumia kodi za watanznaia kuongea na TV Ya taifa Kwa kod zetu huku ukimuuliza atadanganya kuwa wamelipia huo ni ufisadi kuliko huo anaotolea ufafanuzi.
 
Pole Pole kachanganyikiwa anatukana tukana tu kwenye TV Ya taifa, anatumia kodi za watanzania kuongea na TV Ya taifa masaa Yote anayoyataka huku watendaji wa taasisi za umma wamemwandalia documents za uongo nyiiiiiingiiii, sasa mwambie kuwa hicho tu cha kutumia kodi za watanznaia kuongea na TV Ya taifa Kwa kod zetu huku ukimuuliza atadanganya kuwa wamelipia huo ni ufisadi kuliko huo anaotolea ufafanuzi
Yawezekana hata kodi hutoi. Polepole anafaya ufafanuzi wa kina ili Watanzania wafanye maamuzi ya busara, JPM aendelee kuijenga nchi kwa manufaa ya nchi.
 
Yawezekana hata kodi hutoi. Polepole anafaya ufafanuzi wa kina ili Watanzania wafanye maamuzi ya busara, JPM aendelee kuijenga nchi kwa manufaa ya nchi.
Heeee unataka aendelee kuuuwa watanzania wenzetu? Tunauchungu na watanzania wenzetu babu weweeee
 
Sasa waliouwawa hukuwaona? Waliotekwa hukuwaona? Waliporwa Mali hukuwaona? Waliopambikiziwa makesi Ya kijinga hukuyaona, maneno Ya magufuli Ya Ukabila, Ubaguzi, kebehi na matusi na kukanyaga katiba kila Siku hujamuona? Hujaasikia?

Sisi tumeamua ni lisu tunamsubiri akaibe aone mziki wake
Hakuna mziki WOWOTE, sana tutasikia kelele za akina AMSTERDAM waliomtuma Lissu aseme uongo kwa watu wachache wasioelewa ukweli wa mambo. Kwa waliouwa niliwaona ikiwa ni pamoja na WANGWE na SAANANE! Ukabila anauzungumzia Lissu kwa kukumbatia hoja ya AMSTERDAM ya kuigawa nchi kwenye MAJIMBO.

Anataka aingize majimbo ili kukamilisha ile dhana ya "WAGAWE UWATAWALE". Kwani hujui chanzo cha majimbo ni sera potofu za USA baada ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na dhidi ya RED INDIANS kwa nia na lengo moja na kupora wenye nchi yao na kuepuka vita kati yao. Sisi hatuna ukabila hivyo hiyo hoja ya majimbo ni lengo la kuturudisha mwaka 47. HAIKUBALIKI.
 
Yawezekana hata kodi hutoi. Polepole anafaya ufafanuzi wa kina ili Watanzania wafanye maamuzi ya busara, JPM aendelee kuijenga nchi kwa manufaa ya nchi.
Maendeleo gani unaleta Wakati anauuwa watu? Anabagua watu? Anatukana watu, anadhalilisha watu? Ameanzisha kikundi cha kigaid na kukipa jina la wasiojulikana? Hukumbuki kuwa huku tarime kilijaribu kutaka kumteka Peter zakaria kikanyoshwa? Baada Ya kunyoshwa kikajulikana kikabadili jina angani kikajiiita usalama? Chezea tarime wewe babu hata wewe ukijifanya unakuja huku tutakushikisha adhabu kenge wewe
 
Back
Top Bottom