Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Sasa waliouawa hukuwaona? Waliotekwa hukuwaona? Waliporwa mali hukuwaona? Waliopambikiziwa makesi Ya kijinga hukuyaona, maneno ya Magufuli ya Ukabila, Ubaguzi, kebehi na matusi na kukanyaga katiba kila Siku hujamuona? Hujasikia?Sema maMbo ukiwa na ushahidi kamili, vinginevyo huo ni uzushi ingawa wanasheria wanaweza kukwambia huoni UCHOCHEZI!
Sisi tumeamua ni Lissu tunamsubiri akaibe aone mziki wake