jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Hakika watakuua hata huko Hosp bado ninamashaka usikute kazungukwa na watoa roho wakiwa wamevaa makoti meupe au si ajabu kuna maelekezo kwenda kwa madaktari kuwa wahakikishe anakufa. Jamani hivi Mungu tunayemuomba ndie huyohuyo Mungu wa Yohana anayemsema kuwa ni mpenzi wake??? Au Mungu wake ni huyu tunayemwita Shetani sisi???????Ili wakuue?
Oyaa usituzingue siye mfuatilieni mwenye gari number T460CQV Toyota premio. Nenda central registry haraka Lisu alishawaripotia.HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Fikra pevu huwa haifi,Bali huendelea kuishi.Tuishi kwa upendo na kusaidiana na serikali ktk mambo mbalimbali.I hate CCM na Serikali yake.
MWAKYEMBE ALISHASEMA WAKATI NA YEYE YUPO PABAYA... only polisi wa Tanzania ndo wanaosubiri habari za kuletewa...Sasa Kwani kipi cha ajabu hapo? Au ni maneno tu ya kike kupata umbea wa kujazana
Intelijensia inayobaini wanaotamani kuandamana haifanyi kazi katika matukio muhimu kama haya?HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Acha tuPolisi ya bongo bwana...
Ingelikuwa ni wenzetu kwa kutumia vidhibiti vidogo vidogo tu kama ukubwa wa matundu ya risasi, maganda ya risasi n.k
Sasa hivi tungekuwa tushajua angalau silaha ilinunuliwa au ilosajiliwa kwa nani, mpigaji au wapigaji wanatumia mikono gani n.k...
Lakini sasa bongo kama kawaida yao upelelezi unategemea umbea umbea tu...