Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Tulivyo ambiwa tunaingia kwenye Tanzania ya teknolojia (digitali) ilikuwa kwenye visembusi pekee? Au sekta zote?

Mi nadhani tushirikishe na digitali kwenye mitaa yetu serikali sidhani kama inashindwa kuweka cctv kamera kwenye mitaa yake hii ya kusema watu wasiojulikana ni haina maana


Tumuombee Tundu lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili wakuue?
Hakika watakuua hata huko Hosp bado ninamashaka usikute kazungukwa na watoa roho wakiwa wamevaa makoti meupe au si ajabu kuna maelekezo kwenda kwa madaktari kuwa wahakikishe anakufa. Jamani hivi Mungu tunayemuomba ndie huyohuyo Mungu wa Yohana anayemsema kuwa ni mpenzi wake??? Au Mungu wake ni huyu tunayemwita Shetani sisi???????
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Oyaa usituzingue siye mfuatilieni mwenye gari number T460CQV Toyota premio. Nenda central registry haraka Lisu alishawaripotia.
 
Kuna mtu alisema anahamia Zimbabwe naomben namba zake kama hajaondoka nimwombe lift
 
duh jamaaa mkatili kama hajazaliwa na mzazi

upande mwingine anauza sura eti anazuia uizi wa tanzanite na almas, f..k
 
Huu ndio uchochezi! eti mwenye taarifa atoe! Kwani wao wataishi maisha? kufa nao watakufa na kwa Mola wetu damu ya Lisu itawalilia milele na kwa watoto wao!
 
polic mnaomba mwenyetaarifa badala kufanyia kazi tukio hilo!
 
Polisi ya bongo bwana...

Ingelikuwa ni wenzetu kwa kutumia vidhibiti vidogo vidogo tu kama ukubwa wa matundu ya risasi, maganda ya risasi n.k

Sasa hivi tungekuwa tushajua angalau silaha ilinunuliwa au ilosajiliwa kwa nani, mpigaji au wapigaji wanatumia mikono gani n.k...

Lakini sasa bongo kama kawaida yao upelelezi unategemea umbea umbea tu...
Acha tu
 
hii inanikumbusha kauli inayorudiwa kila mara, kwamba kwenye vita wenzio wanasonga mbele wewe unageuka kurudi nyuma utauawa. mbaya sana kama ndicho kimefanyika mlaaniwe wahusika. maoni ya mtu yaheshimiwe daima, mbona wakati anapigakelele kupinga mikataba mibovu hatukumkasirikia na tulimzomea! ,
 
Back
Top Bottom