Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Kabla ya kupigwa risasi walitafuta hiyo premio
 
Wabunge wengine wako salama maana wao hawaongei
 
Tundu Lissu sasa ni kiongozi wa kitaifa. Ni mtetezi wa kila mtu si tu wanaCHADEMA bali wanaCCM na sisi tusio na vyama.

Mji wa Dodoma ni makao makuu ya nchi. Mhimili wa dola, bunge, liko Dodoma; waziri mkuu na wizara nyingine zipo Dodoma. Serikali (mawaziri) iko Dodoma kwa ajili ya vikao vinavyoendelea. Kwa mantiki hiyo ulinzi na usalama wa Dodoma umeimarishwa. Hakuna wa kuingia wala kutoka kirahisi Dodoma kama amefanya uharifu mkubwa kiasi hiki.

Swali linabaki sasa kwa je hawajapatikana hao wauaji mpaka sasa katika ulinzi mkubwa wa mji wa Dodoma? Au tuamini kuwa ni vyombo na ulinzi serikali vinafanya haya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaendelea kulitafuta gari jeupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisii! Ina maana ile intelijensia inayozuia mikutano ya kisiasa ambayo ni hatarishi haijabaini hilo nissan jeupe au jeusi ni la watu gani wasiojulikana?
Nadhani Nissan nyingi zinamilikiwa na watu wasiojulikana
 
H
Hata saa nane alitaja namba za simu zilizokuwa zinamtishia na hakuna hadi sasa anaesema hizo namba ni za nani, wahusika wanajijua maana lisu ugomvi wake ni yeye na shetani mmoja sasa na musolin na hitler
 
Waanze na taarifa ya Lissu mwenyewe akiwa anatoka kanisani.
 
Ukipeleka taarifa, cyo tu kwamba watakupiga risasi tano, ila watakulipua kabisa na baada ya hapo watatangaza tena kuwa mwenye taarifa awapelekee.
 
Nyumba yake haikuwa na cctv? Walinzi? Yaani wema anawalinzi TL hana?
 
Nakuunga mkono kamanda.Swali linalonisumbua ni kwa nini hili tukio litokee wakati ripoti inawasilishwa.Na kwa sasa upepo umebadilika wananchi badala ya kutafakari hotuba ya kizalendo ya Mh.Rais,jamaa wamecheza kubadilisha upepo huu.Ki ukweli ukimsikiliza Rais hawa jamaa wanaochimba madini jina lao limeshachafuka.
Pili,si amini dola inaweza kufanya upuuzi huu,dola lina njia zote tunazozijua na tuzisizojua kumalizana na Lisu,sema kazi aliyojipa ya kuwatetea hawa jamaa ambao hawana permanent friend wala permanent enemy ndio kama hivyo,na prof mluma anatakiwa ulinzi wa kutosha.Mwenye akili amenielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…