Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaendelea kulitafuta gari jeupeTundu Lissu sasa ni kiongozi wa kitaifa. Ni mtetezi wa kila mtu si tu wanaCHADEMA bali wanaCCM na sisi tusio na vyama.
Mji wa Dodoma ni makao makuu ya nchi. Mhimili wa dola, bunge, liko Dodoma; waziri mkuu na wizara nyingine zipo Dodoma. Serikali (mawaziri) iko Dodoma kwa ajili ya vikao vinavyoendelea. Kwa mantiki hiyo ulinzi na usalama wa Dodoma umeimarishwa. Hakuna wa kuingia wala kutoka kirahisi Dodoma kama amefanya uharifu mkubwa kiasi hiki.
Swali linabaki sasa kwa je hawajapatikana hao wauaji mpaka sasa katika ulinzi mkubwa wa mji wa Dodoma? Au tuamini kuwa ni vyombo na ulinzi serikali vinafanya haya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana mda uo nguvu zote zimeishia kwenye kupiga mabomu yaa machozi kutawanya watu walioshika maweKwahiyo kazi ya polisi na wapelelezi wao ni kuanika mambupu? Hizo nguvu mnazutumia kila siku kumkamata ndo mtumie kumtafuta mtungua risasi
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
Kwa sasa wamepata taarifa kuwa gari iliyoonekana ni gari nyeupe aina ya Nissan.
Naye mkuu wa mkoa wa Dodoma amesema polisi wameshaanza kufanya upelelezi kuhusu wahusika na kusema watu waendelee kusubiri taarifa kutoka kwenye jeshi hilo
Amesema hawatapenda kuona mikusanyiko sehemu yoyote ya Dodoma mjini kwa sababu jeshi la polisi bado linafuatilia asili ya tukio lenyewe na mikusanyiko ya watu inaweza kutumika vibaya.
Pia wataendelea kuwafaamisha raia kwenye kila hatua watakayofikia
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Tunaambiwa tunaongoza duniani kwa weledi majeshi na upelelezi. Usiulize dunia gani?Mhhhh! kama jeshi tunalo aisee!
Hahaha!!! Mkuu screpa wanaugua hawa
Nakuunga mkono kamanda.Swali linalonisumbua ni kwa nini hili tukio litokee wakati ripoti inawasilishwa.Na kwa sasa upepo umebadilika wananchi badala ya kutafakari hotuba ya kizalendo ya Mh.Rais,jamaa wamecheza kubadilisha upepo huu.Ki ukweli ukimsikiliza Rais hawa jamaa wanaochimba madini jina lao limeshachafuka.Nimeona watu wanazungumzia SUALA hili la lissu ktk NAMNA tofauti tofauti
WENGINE WAKIWA neutral hawajui
Na wengine wakiituhumu SERKAL
Kwa maoni yangu niseme tu hili ni jambo baya sanaaaa na lapaswa kupigwa vita kila KONA
JAPO ni mapema mno kurusha tuhuma pasipo julikana
Kwa wale waliopitia mambo ya propaganda
Wanaweza nielewe
Haya mambo tulijifunza
Na kweli nimeshuhudia Sana'a yakitokea ndani ya siasa
Kwa harakaharaka ni simple MTU kusema ni SERKAL na INA chuki na lisu n.k
Lakini pia maadui ktk ULIMWENGU w uadui na ujasusi,hutumia fursa kama hizi ktk kukoleza amakuchochea moto wa sakata kama HILI
Either kwa ajili ya maslahi yao kuyalinda
AMA kwa ajili ya kumrudisha MTU nyuma
Kwa upande wa SERKAL juhud za JPM zinaonekana na kila MTU anaona adivyomfumbia macho YOYOTE IWE chama TAWALA n.k
So watu wajue pia maumivu yanauma pia
So MTU UNAWEZA Fanya chochote ili kuchochea vitu
Kwa nyakati hizi kwa SERKAL ni NGUMU sana kufanya kitu cha kipuuzi kama hicho cha kutuma watu wakampige MTU wakati kuna report. Imewasilishwa
Bado WATZ hatujafikia huko
Unless ya GADAF yaanze kujitokeza kwetu kwa uchochez wa kipropaganda and the last akaondolewa na wananchi na kuuwawa kabisa
But Leo wanamkumbuka
SO WE NEED TO BE SILENCE ANF LET'S KNOW WHAT'S GOING ON