ITV AMESEMA NISSAN NYEUPE WALIOONA WAKAMWAMBIA ASEME WAKINANI NA NAMBA GANIHABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
NONSENSE!!!!!!!!!!!!!!!!!HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Maganda ya risasi hayawezi kutupa mwelekeo wa mhusika?
umenena mkuuPolisi ya bongo bwana...
Ingelikuwa ni wenzetu kwa kutumia vidhibiti vidogo vidogo tu kama ukubwa wa matundu ya risasi, maganda ya risasi n.k
Sasa hivi tungekuwa tushajua angalau silaha ilinunuliwa au ilosajiliwa kwa nani, mpigaji au wapigaji wanatumia mikono gani n.k...
Lakini sasa bongo kama kawaida yao upelelezi unategemea umbea umbea tu...
Nimeelewa kwamba wahusika wasipopatikana polisi watasema walitangaza mwenye taarifa alete na hakuna aliyeleta.Ukisikia uchochezi ndio huu
sio kwa sasa, yaani tuliaga tu hivo hivo, keep your cool babe!mmmh.....wacha niwe mtulivu kwa sasa........