Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

wangekua na hiyo nia mpaka sasa hivi ingejulikana, ni juu ya Chadema kufanya huo uchunguzi.
 
Jamani hivi mkuu wa mkoa wa dar alikuepo Leo ikulu pindi ikisomwa taarifa ya madini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio mamlaka kutoka juu kweli? Kwani ana ugomvi na nani zaidi ya mamlaka na fans wake.
 
we Need to be silence ndo lugha gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ndilo jeshi letu, mwenye habari alete wakati wamiliki wa smg. ni wao na wao ndio walinzi wa usalama wa raia na mali zao.. Mungu hukumu yatoka kwako tenda baba.
 
Ukishaskia kauli kamà hizi mtu mzima unajiongeza.....mungu yupo pamoja na lissu,utawala wa kiďiktèta unaotumìa mwamvuli wa uzalendo kuficha maovu yakè wotè tunaujua
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
tundu lissu anakaa mtaa mmoja na mwigulu nchemba na hamadi masauni na mawaziri kibao lazima polisi watakua wanajua yaliyotokea
 
Leo wanataka msaada kwa watu ambao hawana elimu wala utaalamu wa ulinzi na usalama? What a shame? Had I been a cop I would start with the statement he made about the car which has been tracking him for sometime. Nikishajua mmiliki wa gari ndo hapo mambo yanaanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…