Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaNjia yao na iwe Giza na utekezi, Malaika Wa Bwana akiwafuatia, warudishwe nyuma wafadhaishwe wanaoleta mabaya, wachimba mashimo watumbukie wenyewe, Katika jina la Yesu...kila mmoja aseme amina
basi mpelekee trump. maana kama huamini polisi usaidiwaje
Hatushindwagi na tunajuaga kila kituu lakin sasa tutathubutujee kwendaa kuwashikaa watu wale wa ndani ndanii??? Natumai umeeelewaee?? Ndo maana unatolewa ufafanuzi pamba pambaa wakat swala ni la uhai wa mtuu hawana namnaaYaani sisi wananchi sisi hapa twaweza kuwa wapelelezi wazuri zaidi kushinda Polisi?Ndo maana nawachukiaga polisi haki ya nani vile
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.
![]()
[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Ndugu hilo ni changa, raia wema tuwe waangalifu mahana hawakawii kukubambikia. Unakumbuka la dr Ulimboka alipo pigwa, huku raia wakimtaja Ramadhan Ighondu,polisi wao walikimbilia kumkamata "kichaa" mmoja aliye enda kutubu kwa gwajima! Amini nakwambia mhusika halisi hatoguswa.na wao waendelee na upelelezi si wakae wasubirie