Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

Njia yao na iwe Giza na utekezi, Malaika Wa Bwana akiwafuatia, warudishwe nyuma wafadhaishwe wanaoleta mabaya, wachimba mashimo watumbukie wenyewe, Katika jina la Yesu...kila mmoja aseme amina
Amina
 
Yaani sisi wananchi sisi hapa twaweza kuwa wapelelezi wazuri zaidi kushinda Polisi?Ndo maana nawachukiaga polisi haki ya nani vile
Hatushindwagi na tunajuaga kila kituu lakin sasa tutathubutujee kwendaa kuwashikaa watu wale wa ndani ndanii??? Natumai umeeelewaee?? Ndo maana unatolewa ufafanuzi pamba pambaa wakat swala ni la uhai wa mtuu hawana namnaa
 
et upeleke polisi..?ili wakudake maana sikuhizi hakuna wa kumuamini ni kutekwa ama kuuliwa
 
HABARI MPYA: Kamanda wa Polisi Dodoma amesema yeyote mwenye taarifa kuhusu wahusika waliompiga risasi Tundu Lissu waiwasilishe polisi.




adc7684e7b5f47745028ccb004d3f1db.jpg


[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

polisi wameongea vizuri maana kuna mijitu ilianza kujifanya inajua kama wana data wapeleke polisi waone kama polisi haitachukua hatua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na wao waendelee na upelelezi si wakae wasubirie
Ndugu hilo ni changa, raia wema tuwe waangalifu mahana hawakawii kukubambikia. Unakumbuka la dr Ulimboka alipo pigwa, huku raia wakimtaja Ramadhan Ighondu,polisi wao walikimbilia kumkamata "kichaa" mmoja aliye enda kutubu kwa gwajima! Amini nakwambia mhusika halisi hatoguswa.
 
Back
Top Bottom