Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
hahahaa watu mna manenoUkizingatia pasaka iliyopita hatukusherehekea pia kwasababu ya corona wangetuonea huruma tulipizie na ile!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana Yesu aliyeyashinda mauti,ameanza sherehekewa toka miaka elfu mbili iliyopita,sijawahi acha msherehekea anapofufuka na hata pasaka hii nitamsherehekea,alishuka kuzimu akayshinda mauti na siku ya tatu akapaa mbinguni,kwanini nisishangilie siku hiyo? thubutuuu 😂Wakristo ijumaa kuu tunaadhimisha kifo cha Bwana Yesu, na alfajiri ya jumapili tunasherekea kufufuka kwake, sasa inakuwaje tunalazimishwa kutii sheria za wanadamu halafu tuzidharau za MUNGU?. ..
Waagize hapa majita tuwale😋[emoji23][emoji23][emoji23] sijui wale mbuzi nilioagiza na wageni kupewa mwaliko nitawapeleka wpi mjini hapa.
WanajifurahishaHata angekufa siku ya pasaka bado ningeshangilia kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu. tatizo Magufuri anawatesa sana waliomuona mungu mtu kwao.
Utu gani,utu kwangu ni mumsifu Mungu Kila ninavyojisikia ,Kama Kuna ktu anaomboleza atuachie wengine tushangilie Ukombozi!Inabidi tuwe na utu,hili jambo si la kila pasaka.Tuomboleze,Tuache mihemko
Tanzaia Kuna Mila na destuli nyingi kulingana na makabila na maeneo. Pia kuna tamaduni tofauti za kuomboleza msiba. Wengine unywa pombe na kucheza ngoma kujifariji.Jeshi la polisi nchini limewataka waumini wa dini ya Kikristo na Watanzania wote kusherehekea sikukuu ya Pasaka huku wakikumbuka bado Taifa liko katika siku 21 za maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli....
Ombolezeni na polisi wenu.Inabidi tuwe na utu,hili jambo si la kila pasaka.Tuomboleze,Tuache mihemko
Mtakatifu gani anaxikwa na lishuka jekundu , mkuki na ngozi ya kondoo ?Sasa utakatifu ataupataje kama wanatukataza kusherehekea?
dah hii ndo Tanzania usikute mkuu wa nchi mama samia hajui hili bango la kuzuia shamra shamraJeshi la Polisi nchini limesema halitegemei kuona sherehe na shamrashamra za Pasaka kama za kipindi cha nyuma katika kipindi hiki ambacho nchi bado ipo kwenye maombolezo ya kuondokewa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
====
Ndugu wanahabari, kama mnavyojua bado taifa letu lipo katika siku 21 za maombolezo kutokana na kifo cha alikuwa Rais wwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na tukio hilo kubwa la majonzi napenda kuwajulisha kwamba nchi yetu bado ipo shwari pamoja na kwamba kuna matukio machache ya kijinai yaliyotokea na ajali za barabarani zilizotokea ambazo kwa pamoja zinaendelea kushughulikiwa na baadhi ya watuhimiwa waliohusika katika matukio hayo wameshakamatwa.
Ndugu wanahabari, kufuatana na kalenda, kila ifikapo wakati huu waumini wa madhehebu ya Kikristo huungana kwa pamoja katika kusherehekea sikukuu za Pasaka...
Tuna imani, kama kila mwananchi atazingatia na kufuata Sheria na kujiepusha na vitendo vya kiuhalifu, ibada za Pasaka zitamalizika salama tukizingatia kuwa bado tupo katika kipindi cha maombolezo na hatutegemei zile sherehe na shamrashamra tulizozoea kipindi cha miaka ya nyuma kuwepo katika kipindi hiki.