Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Tuache unafiki huyu kamanda kajibatiza uchawa. Huyu ni Polisi mwongo kiasi kwamba anabishia hadi kamera ambaye yeye yupo! Leo eti watu wamwamini kwamba sio polisi wametumwa! Tuacheni unafiki hata siku moja hawatasema ni wenyewe. Habari za ndani ni kwamba ni wale wale na watatafuta vibaka wa kuwabambiza kesi
 
HAKUNA MWINGINE ALIYEHUSIKA NA HAYA MAMBO ZAIDI YA MULIRO NA WATU WAKE. WANAHARIBU NCHI YETU WAJINGA HAWA.
 
Tuache unafiki huyu kamanda kajibatiza uchawa. Huyu ni Polisi mwongo kiasi kwamba anabishia hadi kamera ambaye yeye yupo! Leo eti watu wamwamini kwamba sio polisi wametumwa! Tuacheni unafiki hata siku moja hawatasema ni wenyewe. Habari za ndani ni kwamba ni wale wale na watatafuta vibaka wa kuwabambiza kesi
Ni yeye
 
Habari za ndani ni kwamba ni wale wale na watatafuta vibaka wa kuwabambiza kesi🥺🥺🥺
 
Unasema tuache unafiki au ww unaleta unafiki wa kutokuleta ushahidi wa unachokisema
 
Geresha tu, huyo ataachiwa. Inaonekana ni mfumo kabisa ulijipanga kuondoa uhai wa Padri Kitima.

Jiulize walifikaje hapo? walipewa vibali maalum au walikuja kama viongozi wa dini.

Waliondokaje hapo, sehemu inayolindwa 24/7 bila kukamatwa?
Kabisa inaweza kuisha kama yule mkenya aliyepewa kesi ya Ulimboka, baadae akaachiwa
 
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA

Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.

Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.

Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.

Imetolewa na

Kamanda Kanda Maalum ya Polisi

Dar es Salaam.

Pia soma
  1. Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
  2. Rais wa TEC, Askofu Pisa apingana na polisi, asema taarifa yao kuwa Padri Kitima alikuwa anapata kinywaji wakati anashambuliwa ni Upotoshaji

Yale Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yaliyotoa ruhusa ya kuua Watu kwa Maafisa wa Polisi na TISS sasa matunda yake ndio yanaonekana Wazi wazi kabisa ya Watu kutekwa, kuteswa, kushambuliwa, kupotezwa na kuuawa.

Aidha, Mabadiliko yale ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 yamewapa ruhusa Watu hao wa Tiss na Polisi kufanya Mauaji ya Watu kadiri watakavyo, na hakuna kitu chochote kile wanaweza wakafanywa. Wameruhusiwa kuua Watu bila ya wao Wauaji kuweza kushitakiwa.
 
Je, mahakamani atafikishwa?!
Screenshot_20250507-160101.jpg
 
Back
Top Bottom