Mamsosa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2024
- 1,309
- 2,863
Anakitoa ccm kwa kua anafanya kazi kikada!Unadhani kiburi na dharau anatoa wapi?
Anakitoa ccm kwa kua anafanya kazi kikada!Unadhani kiburi na dharau anatoa wapi?
Ndiyo hivyo sasa ujueAnakitoa ccm kwa kua anafanya kazi kikada!
Tanzania ya system kwa maana ya uwajibikaji ilizaliwa Butiama, akailelea Mzee Ruksa, bad enough walikufa nayo..serikali ya sasa haina tofauti na singeli na vidukuNdiyo hivyo sasa ujue system imeoza mkuu kuanzia juu
Hovyo kabisa mkuuTanzania ya system kwa maana ya uwajibikaji ilizaliwa Butiama, akailelea Mzee Ruksa, bad enough walikufa nayo..serikali ya sasa haina tofauti na singeli na viduku
Watekajii woote wanajulikanaaa.....muda tuuu....utafika tutawataja kwa majinaaa na anaewatuma na kuwalipaNdiyo hao wanateka watanzania kila mara
Muliro amezoea kupambana na CHADEMA hivyo kila mtu anajua ni CHADEMA, alipaswa awe ametenguliwa muda huu na yupo lockupRais wa TEC Mhashamu Askofu Wolfgan Pisa amemuumbua vibaya sana Kamanda Muliro! Ni vile tu ndugu zetu polisi hawana mishipa ya aibu.
Badala atoe tamko lenye uhalisia! Yeye analeta porojo na upotoshaji!
Kusema eti Padre Kitima alikuwa akipata kinywaji (pombe) kuanzia saa 1 jioni mpaka saa nne plus usiku, huku ikibainika kumbe hilo eneo haliuzwi vinywaji alivyo maanisha huyo kamanda! Ni ushahidi tosha polisi wetu aidha wanatumiwa vibaya na wanasiasa, au hawana weredi kwenye kazi zao za msingi za kulinda raia na mali zao.
Kwani ulikuwa huwajui?Watekajii woote wanajulikanaaa.....muda tuuu....utafika tutawataja kwa majinaaa na anaewatuma na kuwalipa
No Reforms No ElectionsKwani ulikuwa huwajui?
Ndiyo shida ya kuteuliwa kindugu na rushwaHaya mashetani yanaishi zama za Giza kweli kweli Yani.
changia hoja bila kuropoka gentlemanMobna unakuwa msenge msenge

Eneo lile ni kubwa hivyo si rahisi kila sehemu kuwe na mwanga na pia kwa vyovyote hao watu ni well trained sio lazima watumie geti kuu kuingiaIli waonekane wapo kazini.
Hizi tabia zenu za kushambulia watu au kuwateka halafu mnawageuzia kibao inaumiza sana na kujenga na kuchochea chuki sana. Natoa mifano michache.Mwambieni huyo Padre wenu aache ulevi , analewa kibwege hadi anaanguka chooni alafu anasingizia kushambuliwa ili kuficha aibu, kafika Hospital ananuka pombe