WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Kweli kabisaVibaka wa kibibi Samia hawa. Hata ukiwa mjinga namna gani utajua hawa wametumwa kwa sababu kanisa limesema ukweli. Samia amesikika mara nyingi akitishia viongozi wa dini wanaosema ukweli.