Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kumuamini Muliro unatakiwa uwe na Roho ngumu sana
Hili Jeshi livunjwe lisukwe upya.PoliCcm wanajifanya wana akili sana
Sisi tunao onya ndiyo waangalifu na nyinyi mnao shabikia upumbavu ndiyo msio waangalifu mmepofuka macho ya ufahamu mmekuwa maanithi wa akili (sijui kama unajua anithi wa akili nini maana yake )kuna anithi kimwili na anithi kiakili ....Anithi kimwili siyo mbaya kama anithi akiliniUnajua tusiongee kishabiki,tujitahidi kuwa waangalifu juu ta mambo haya
sisiemu hawana nafuu kumjeruhi padrihuenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu![]()
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
teheteheteh wanalrta movi la jet leeHaraka sana kama ilivyopangwa.
Michezo ya kitoto sasa.
hivi kama unataka kushawishi watu wakubali usemayo kwa lugha hii utafanikiwa? acheni kuwaharibia watu wanaotafuta maendeleo na mabadiliko nchini kwa kutoa maneno kama mvuta bangiSisi tunao onya ndiyo waangalifu na nyinyi mnao shabikia upumbavu ndiyo msio waangalifu mmepofuka macho ya ufahamu mmekuwa maanithi wa akili (sijui kama unajua anithi wa akili nini maana yake )kuna anithi kimwili na anithi kiakili ....Anithi kimwili siyo mbaya kama anithi akilini
Muliro hana tofauti na Wasira. Uwezo wao wa kufikiri uko chini sana. Hayo yote yametokana na uzee.Mbona huyo mtuhumiwa kapatikana haraka haraka sana,michezo ya ccm polisi hiii
huyo ni kanyaboya,hii haraka ya kukamata watuhumiwa imeanza lini,SPEED YA SGRPolisi wa nchi hii wakamate mtuhumiwa usiku huohuo wa tukio kama hili.
Unaamini kakamatwa mtuhumiwa kweli au mtaletewa kanyaboya tu kusafisha hali ya hewa!
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu![]()
Mkuu Nakuonya tena na tena,CCM itakusababishia laana kama na kejeli zako unazipeleka Kwa watumishi Mungu.Haijalishi wewe ni Imani gani lakini utalaanika wewe na familia na ukoo wako wote.Usipoacha magonjwa kwenu yasiyotibika yatawaandama,Mikosi itakuwa juu ya familia yako.Fedha zote haramu unazopata CCM zitaishia kwenye matibabu.Acha mara moja tabia hiyohuenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu![]()
Mapdre wote wanawafadhili wao,Wala hakuna anayetegemea sadaka.Ungekuwa mkatoliki ungelewa kazi za sadakaYaani Padre Kitima aliendelea kutandika pombe kuanzia saa moja hadi saa nne.na robo usiku
Sadaka za wakatoliki zinabomolewa hasa.
Hongereni wakatoliki watoa sadaka
Acha kudanganywa kiboya .Hakuna aliyekamatwa .Huyu MUHA wa Mabamba Kibondo ni muongo kulinda kibarua chakeMmoja kakamatwa
baadhi ya ma padre ni vinara kwa kula pisi za watu walioolewa na wasioolewa, pia wana biashara mtaani mabazo zinaweza kusababisha uadui na baadi ya watuhuenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu![]()
Samahani ndugu nimetumia maneno makali sana. Nimeumia sana. Nilitegemea uonyeshe huruma kwa aliyeumizwa, badala yake unamtolea Padre shutuma ambazo sidhani kama una uhakika nazo. Hata kama ujumbe wa RC umewaumiza nyie CCM lakini isifikie mahali tukakosa utu wa kuhurumiana mwenzetu anapofikwa na majanga.calm down with your useless nonsense mayhem gentleman![]()
acha uropokaji gentleman,Mkuu Nakuonya tena na tena,CCM itakusababishia laana kama na kejeli zako unazipeleka Kwa watumishi Mungu.Haijalishi wewe ni Imani gani lakini utalaanika wewe na familia na ukoo wako wote.Usipoacha magonjwa kwenu yasiyotibika yatawaandama,Mikosi itakuwa juu ya familia yako.Fedha zote haramu unazopata CCM zitaishia kwenye matibabu.Acha mara moja tabia hiyo

Piga langu tu. Mjinga huyoBro tumia akili muda mwingine uchawa wako utatufikisha pabaya.
ndio ni kweli kwani na wao ni binadamubaadhi ya ma padre ni vinara kwa kula pisi za watu walioolewa na wasioolewa, pia wana biashara mtaani mabazo zinaweza kusababisha uadui na baadi ya watu