Hamna jeshi hapoHili Jeshi livunjwe lisukwe upya.
Yupo wapi muuaji wa mzee KIBAO?MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Issue ni kunywa au issue ni kushambuliwa akiwa eneo la makaazi yao?Alikua anakunywa soda toka saa kumi na mbili mpaka nne na robo!?
Jeshi limemkamata mtu mmojaAcha kudanganywa kiboya .Hakuna aliyekamatwa .Huyu MUHA wa Mabamba Kibondo ni muongo kulinda kibarua chake
baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
relax gentleman,Samahani ndugu nimetumia maneno makali sana. Nimeumia sana. Nilitegemea uonyeshe huruma kwa aliyeumizwa, badala yake unamtolea Padre shutuma ambazo sidhani kama una uhakika nazo. Hata kama ujumbe wa RC umewaumiza nyie CCM lakini isifikie mahali tukakosa utu wa kuhurumiana mwenzetu anapofikwa na majanga.
Mimi si Mkatoliki na wala si mwanachama wa chama chochote cha siasa. Mimi chama changu ni Tanzania. Naipenda nchi yangu ambayo Mungu alipenda nizaliwe ndani yake.
Mambo yakiharibika Tanzania sina nchi nyingine ya kwenda hapa duniani. Tushirikiane kuhakikisha HAKI inatamalaki nchini. AMANI ya kweli hutokana na misingi ya HAKI kusimamiwa vyema.
Mungu ibariki Tanzania.

Ni kama sakata la Dr Ulimboka na Mtekaji Joshua Mulundi kutoka Kenya.Mbona huyo mtuhumiwa kapatikana haraka haraka sana,michezo ya ccm polisi hiii
Kabla hata Barua ya Roma haijapigwa Lamination 😭😭MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Kweli aiseeYupo wapi muuaji wa mzee KIBAO?
Wapo wapi wauaji wa dr. Sengondo MVUNGI?
yupo wapi muaji wa Ben sanane?
Makaazi au mgahawani ambako pombe huuzwa pia!?..kimsingi ni ugomvi wa waleviIssue ni kunywa au issue ni kushambuliwa akiwa eneo la makaazi yao?
Hivi aliyetoa ile statement ana weredi?
Hii comment yako ukitoa matusi inabaki nini mkuuWaambie waitishe hayo maandamano tuone atakayejitokeza. Mabwege nyie mnawaza kuharibu amani ya nchi yetu kwa njia yoyote, Kitima ni binadamu km binadamu wengine, ana maadui na marafiki km mtu mwingine yeyote. Shida yenu mnatafuta kila upenyo lakini hamtapenya nyie nguruwe pori.
Mtu mwenye above 56+ ugomvi binafsi usitokee miaka yote, utokee baada ya kutamka msiwapangie cha kuzungumza?huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu![]()
Inafikirisha sanaSounds like a movie!
Toka lini wamekuwa active kiasi hiki?
Hawa mbwa wa ccm wapumbavu wanaendelea kuleta drama kama zile za za yule jamaa aliyedaiwa kumteka Mo Dewji.MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma
Labda miaka yote hiyo alikua hatombi mke wa huyo jamaaMtu mwenye above 56+ ugomvi binafsi usitokee miaka yote, utokee baada ya kutamka msiwapangie cha kuzungumza?
Inafikirisha sn ht kwa akili km yako ku-analyse jambo hili in such narrow mind!
twendeni kumpa pole na kumtia moyo, huku tukipata mbili za baridi, hivi kuna jiko pale mie napendaga foil ya nundu na mbavu za mbuzijata mimi miaka ya nyuma niliwahi kuwa nae hapo tukanywa pombe,kwa furaha,amani na kwa urafiki mkubwa
Wanahisi haja ndogo alafuwanafunua kaliokete mnazo gusa kwenye hili gemu ni mbaya sana tusubiri tuone