Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hiyo ni muhimu sana my lady kwa kila bianadamu kua na aina hiyo ya moyo,Em kuwa km binadamu mwenye moyo wa nyama, Lol
lakini,
tukio hilo baya lililompata kiongozi wetu wa dini limeshatokea tayari na lina utata mwingi sana,
na ndio maana hata mimi nimesema huenda limetokea kwasababu ya hicho nilichokisema.
But nimesikitishwa, nimefedheheshwa sana na kitendo hicho cha fedhuli kufanywa na watu wazima humu nchini.
ni muhimu kusubiri uchunguzi wa polisi ukamilike, lakini pia maelezo ya muthirika ni muhimu zaidi ikiwa alikua timamu wakati wa tukio.
Zaidi sana,
tumuombee kwa Mungu kiongozi huyo apate ahueni na uponyaji wa mapema
