Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA

Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.

Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.

Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.

Imetolewa na

Kamanda Kanda Maalum ya Polisi

Dar es Salaam.

Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Muliro ndugu yetu hujitambui....bogus kupitiliza...tumia Common sense hata kidogo .....wazanzibar wamewazidi mnatumika bila akili ..... wenzenu wamezoea kuuana kule kwao wameishi kwa chuki na kubaguana kule kwao walisha wahi kumuua padre zanzibar na kuchoma makanisa sababu ya dini na siasa za chuki....sasa wamepenyezwa huku.....kuwa makini Muliro na TISS yenu
 
Akiendelea kupata kinywaji😁
Padre Kitima muda huo wa saa nne usiku badala ya kuwa chumbani kwake akimeza neno la Mungu akawa baa anadudumia kumeza pombe

Mapadre wa sasa hivi pasua kichwa
 
ABDUL NA ROSTAM NI HATARI KWA TAIFA ...NILIONYA KUHUSU WAISLAMU KUSHIKA UONGOZI WOWOTE WATU WAJINGA WA JF WAKAPINGA NA KUNIITA MJINGA ILA NAWAAPIA WATAKILI TU KUANZIA WAISLAMU WENYEWE HADI WAKRISTO HADI WAPAGANI WATAKUBALI KUWA MUISLAMU ASIWE KIONGOZI POPOTE TANZANIA AWEKWE KUNDI MOJA NA WANAWAKE ...NIKOSA KUMPA UONGOZI MWANAMKE HATA KWENYE FAMILIA.
Amesikika KAFIRI MMOJA
Kwamba ulionya waislam kushika dola means hii nchi ni ya MAKAFIRI SIO?
Tukisema kila mtu alete chuki za kidini tutakaa salama.
Kwanza uonye wewe ukiwa nani?
 
MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA

Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.

Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.

Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.

Imetolewa na

Kamanda Kanda Maalum ya Polisi

Dar es Salaam.

Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya
Scapegoat huyo
 
Bro pale hapako safe,kwani kwanza kuna kumbi nyingi za mikutano,kuna malazi ya watu wengi ambao huja kwenye semina na pia kuna baa ambapo mtunyoyote huruhusuwa kuja kunywa na pale getini,ukishasema tu upo kwenye semina au umekuja kunywa unaruhusiwa kuingia na huwa hawakukagui kabisa.Kwa sasa inabidi waweke ulinzi na ukaguzi imara
Things have to change

Nobody is safe anywhere
 
Amesikika KAFIRI MMOJA
Kwamba ulionya waislam kushika dola means hii nchi ni ya MAKAFIRI SIO?
Tukisema kila mtu alete chuki za kidini tutakaa salama.
Kwanza uonye wewe ukiwa nani?
Bora kafiri mtenda haki kuliko muislamu muhuni tena asiye mzalendo anaye chukia uzalendo na wazalendo ...hata muhammad alifundisha hivi nisemavyo. Pale alipo waambia waislamu kuwa ikiwa jambo linatoka kwa makafiri ila ni la haki liungeni mkono ....leo waislamu wanasema shoga wetu alindwe ni muislamu mwenzetu..fisadi wetu alindwe ni muislamu mwenyetu jambazi la kiislamu lilindwe n8 muislamu mwenzetu ..hivyo waislamu wakiona mkristo anaua jambazi la kiislamu roho zinawauma kuwa muislamu mwenzetu kauliwa ....muhuni harmoniz akiingia kanisani waislamu wanadai ni muislamu mwenzao
 
Btw, why chadema fanatics watangaze hii kitu hata kabla ya kanisa?
Hili liko dhahiri. Wanasiasa kwenye zama za mitandao, wako kazini 24/7. Na zaidi, Fr Kitima ana support kilio cha HAKI cha watanzania wengi ambao wanataka uchaguzi huru, kitu ambacho CHADEMA fanatics wanasimamia. Kanisa wanafanya kwanza uchunguzi na kama kuna umuhimu watatoa tamko rasmi. Hivi hata wewe ungekuwa ni CHADEMA fanatic, ungeacha kuonyesha wasiwasi wako kwenye hili jambo, ikizingatiwa vitisho kwa Fr vimetolewa na rais na pia makada wa CCM?
 
Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Polisi wakiachwa wafanye uchunguzi huru na kanisa likatoa ushirikiano asilimia 100 kwenye hilo sakata

Watakuwa wamefanya jambo zuri sana.

Na ukweli utajulikana vizuri sana kumhusu Padre Kitima
 
Ujue taifa letu vyama vya siasa hasa upinzani havina nguvu...

Ila dini inajua kuwashika watu kama Rc wangeitisha maandamano watu wangetoka.. ila sio CHADEMA...


Tanzania ni dini na mpira ndo zinaweza amsha umma wote ukaingia barabarani...

Nilijua tu watarespond haraka sana maana hii ni hatare mbaya mno kuanzia ndani mpaka kimataifa
Waambie waitishe hayo maandamano tuone atakayejitokeza. Mabwege nyie mnawaza kuharibu amani ya nchi yetu kwa njia yoyote, Kitima ni binadamu km binadamu wengine, ana maadui na marafiki km mtu mwingine yeyote. Shida yenu mnatafuta kila upenyo lakini hamtapenya nyie nguruwe pori.
 
Amesikika KAFIRI MMOJA
Kwamba ulionya waislam kushika dola means hii nchi ni ya MAKAFIRI SIO?
Tukisema kila mtu alete chuki za kidini tutakaa salama.
Kwanza uonye wewe ukiwa nani?
Bora kafiri mtenda haki kuliko muislamu muhuni tena asiye mzalendo anaye chukia uzalendo na wazalendo ...hata muhammad alifundisha hivi nisemavyo. Pale alipo waambia waislamu kuwa ikiwa jambo linatoka kwa makafiri ila ni la haki liungeni mkono ....leo waislamu wanasema shoga wetu alindwe ni muislamu mwenzetu..fisadi wetu alindwe ni muislamu mwenyetu jambazi la kiislamu lilindwe n8 muislamu mwenzetu ..hivyo waislamu wakiona mkristo anaua jambazi la kiislamu roho zinawauma kuwa muislamu mwenzetu kauliwa ....muhuni harmoniz akiingia kanisani waislamu wanadai ni muislamu mwenzao ..Ni kama wewe unaona vema kinacho endelea nchini ila unasema ni waislamu wenzetu ..muislamu yote neno HAKI kwa kwa wasio waislam ni upumbavu .
 
Wewe huoni uzito wa tukio? Unaona Katibu wa TEC ni sawa na hayo matukio mengine? Uliambiwa baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alikimbia? Hujaona swala la kinywaji hapo? Shirikisha vidole na ubongo wako.
Maana kuna watu wengi tu wanavamiwa na kuumizwa lakini polisi ya tanzania haina majibu mpaka kesho.
 
Back
Top Bottom