Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

calm down gentleman,
mke wa mtu ni sumu kali sana, majeruhi anaweza kumfuata jambazi wa mke wake mpaka madhabahuni. unafanya mchezo nini na mambo ya kuchapiwa?:NoGodNo:
Ndiyo hivyo mkanye mamako aache kudanga na mapadri asije kuwaponza!
 
Bora kafiri mtenda haki kuliko muislamu muhuni tena asiye mzalendo anaye chukia uzalendo na wazalendo ...hata muhammad alifundisha hivi nisemavyo. Pale alipo waambia waislamu kuwa ikiwa jambo linatoka kwa makafiri ila ni la haki liungeni mkono ....leo waislamu wanasema shoga wetu alindwe ni muislamu mwenzetu..fisadi wetu alindwe ni muislamu mwenyetu jambazi la kiislamu lilindwe n8 muislamu mwenzetu ..hivyo waislamu wakiona mkristo anaua jambazi la kiislamu roho zinawauma kuwa muislamu mwenzetu kauliwa ....muhuni harmoniz akiingia kanisani waislamu wanadai ni muislamu mwenzao ..nikama wewe unaona vema ila unasema ni waislamu wenzetu ..muislamu yote neno HAKI kwa kwa wasio waislam ni upumbavu .
Kwahiyo wewe una ushahidi kwamba samia ni jambazi?
 
siasa za africa za hovyo sana, yule dada alivyompinga heche akapigwa ngumi ya jicho dish likayumba jumla, faza nae kawakosoa kapigwa rungu la kichwa, wacha tu wengine tuwakosoe akina shilole tukae salama
 
kabisa,acha mie nimtukane mwijaku
 
Kwahiyo wewe una ushahidi kwamba samia ni jambazi?
Ushahidi wakazi gani kwenye fact Samia bushiri ni zaidi ya majambazi 1000 kama uamini subiri kaa pale 👉 utajua nini maana ya state capture naona kinachotokea kwa Zelensky na ukrain akijakufunza chochote akilini .....UJUI NINI MAANA YA STATE CAPTURE NA HATARI YAKE .
 
Unajua tusiongee kishabiki,tujitahidi kuwa waangalifu juu ta mambo haya
 
Padre Kitima muda huo wa saa nne usiku badala ya kuwa chumbani kwake akimeza neno la Mungu akawa baa anadudumia kumeza pombe

Mapadre wa sasa hivi pasua kichwa
Haki ya kula na kunywa. Mwenye kutaka kula chura na ale.
 
Back
Top Bottom