Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Tukio limetokea jana usiku , asubuhi mtuhumiwa ameshapatikana kwa Tanzania hii hili ni jambo geni.
 
Tunasubiri tamko.....hatuendi kupiga kura machawa pekee wampigie kyra aendeshe nchi kwa kumwaga damu.....
Akunyimae mbaazi anakupunguzia mashuzi.
Kikundi cha watu fulani kikisusa kupiga kura watanzania wengine watapiga kura.
Tanzania haitaacha kuitwa Tanzania eti kisa kuna watu fulani wamesusa kupiga kura.
Emmanuel Nchimbi, Stephen Wasira, Philip Mpango, Mwigulu Nchemba na Amos Makala ni wakristo tena wakatoliki na hawawezi kuacha kupiga kura eti kisa kuna padri fulani kaumizwa na watu wasiojulikana.
 
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu :NoGodNo:
Ingelikuwa hivyo ccm wangesha mtumia huyo mwanamke kwa kumlipa mamilioni ili apige picha za ngono kwa siri na huyo ili wazitumie kumbana awe upande wao au wamchafue
 
Nimepata habari hata wewe ni mtoto wa padri baba yako mlezi alibambikiwa! Mama yako akome kuwarubuni mapadri!
calm down gentleman,
mke wa mtu ni sumu kali sana, majeruhi anaweza kumfuata jambazi wa mke wake mpaka madhabahuni. unafanya mchezo nini na mambo ya kuchapiwa?:NoGodNo:
 
Vatican hawana tofauti na Marekani, wote wazee wa fitna, ukianza kumess nao hapo madarakani kukuondoa ni ishu ya muda mfupi tu.
 
Ingelikuwa hivyo ccm wangesha mtumia huyo mwanamke kwa kumlipa mamilioni ili apige picha za ngono kwa siri na huyo ili wazitumie kumbana awe upande wao au wamchafue
huenda hapakua na haja ya mtego kama huo kwa mwenye ndoa yake, labda ni tukio halisi :putinWalk:
 
1746081038068.png
 
Hivi kwa Mola Mlezi watu watajibu nini wakitwaliwa saa na dakika isiyojulikana kuanzia sasa?.
Wao kwanza hawaamini kuna Mungu
Pili Wanasemaga hata kama yupo huwa hajihusishi na mambo ya Siasa 🤣😄 !
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom