Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
toa maoni yako kwa uhuru bila makasiriko gentlemanWe (uma kibuyu kuna muda uwe unatumia akili zako vizuri kilaza mkubwa

toa maoni yako kwa uhuru bila makasiriko gentlemanWe (uma kibuyu kuna muda uwe unatumia akili zako vizuri kilaza mkubwa

toa mawazo yako kwa uhuru dhidi ya hoja mezani bila kukasirikia wengine gentlemanUkiwa CCM unawaza ngono tuu.

huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu![]()
Not necessarilySiijui lakini kama ipo basi mama ni boya kupitiliza. Kwa nini? Yeye ndiye rais na anapaswa kujua kila kitu kinachoendelea nchini na hawa wote ''within'' kawaweka yeye. Au umesahau nchi yetu rais ni kama mungu mtu?
calm down shangaziSawa dada tumekusikia

Ipo siku atapakwa mafuta nakumelemetaBro tumia akili muda mwingine uchawa wako utatufikisha pabaya.
calm down crazyINSANE.

relax then gentlemanNilikuwa nasubiri kuona comment ya kivivu kama hii...

jikite kwenye hoja gentleman bila mihemko, huna haja ya kumbwelambwela na mambo ambayo hayana uhusiano na kujeruhiwa kwa huyo boss muungwana wa TECMmeingia choo cha kike anayewashauli naamini hawatakii mema, subiri moto uwake mpaka October masanduku ya kura yatakuwa yametupwa mabarabarani

Huwezi kuitumia usicho nacho mkuu. HanaBro tumia akili muda mwingine uchawa wako utatufikisha pabaya.
Lengo ni kutaka kupumbaza watu, waone ni tukio la kawaida la ujambaziHata mie nimehisi hivyo, tena na kutaja kabisa jina la mtuhumiwa!.
ni muhimu zaidi kuepuka mihemko na makasiriko kwenye mambo muhimu kama hayo,Watanzania wengi tumekuwa wajinga sana nyakati hizi. Huu ujumbe wako ni kielelezo Cha kuchanganyikiwa.

Wewe ulikuwa ukimuamini???Ni vijana wa Muliro ndiyo wamefanya shambulio hilo,huyu mzee ni mwongo sana alivyokana polisi kuwapiga na kuwavunja mikono na miguu wanachama wa Chadema hawezi kusminika tena.
wake na familia za watu ni sumu my friends, ladies and gentlemanAlaf wanataka kusema maagizo ya padre kupigwa yalitoka Lumumba. Watu ni WA hovyo Sana kaka.

Nimepata habari hata wewe ni mtoto wa padri baba yako mlezi alibambikiwa! Mama yako akome kuwarubuni mapadri!huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu![]()
Yeh. My pot, may be... is better than yours.... Katu huu ujinga wa watanzania wengi kuwa ''rais anaangushwa na wasaidizi wake'' au ''kuna watu wanataka kumharibia rais'' siyo chakula changu.Not necessarily
You just got stuck in your own pot
1. Huyu Muilo haaminiki katu! Msimuamini kabisa...........MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA
Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania.
Padri huyo Inadaiwa tangu saa tatu asubuhi walikuwa na kikao na viongozi wa dini mbalimbali na baada ya kikao kuisha saa 1 jioni alikwenda kwenye kantini yao ambapo aliendelea kupata kinywaji hadi saa nne na robo alipokwenda maliwatoni pembeni ya kantini hiyo ndipo alidai kushambuliwa kichwani na kitu butu na watu wawili.
Alipelekwa Hospitali ya Agakhan na anaendelea vizuri na matibabu. Mtu mmoja Rauli Mahabi Haraja mkazi wa Kurasini anashikiliwa na kuhojiwa kuhusiana na tukio hilo. Uchunguzi wa kina unaendelea ili hatua kali na za haraka zichulikuliwe kwa wahusika.
Imetolewa na
Kamanda Kanda Maalum ya Polisi
Dar es Salaam.
Pia soma ~ Padri Kitima adaiwa kushambuliwa usiku huu. Inadaiwa hali yake ni mbaya