Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

Siijui lakini kama ipo basi mama ni boya kupitiliza. Kwa nini? Yeye ndiye rais na anapaswa kujua kila kitu kinachoendelea nchini na hawa wote ''within'' kawaweka yeye. Au umesahau nchi yetu rais ni kama mungu mtu?
Not necessarily

You just got stuck in your own pot
 
Mmeingia choo cha kike anayewashauli naamini hawatakii mema, subiri moto uwake mpaka October masanduku ya kura yatakuwa yametupwa mabarabarani
jikite kwenye hoja gentleman bila mihemko, huna haja ya kumbwelambwela na mambo ambayo hayana uhusiano na kujeruhiwa kwa huyo boss muungwana wa TEC
 
Watanzania wengi tumekuwa wajinga sana nyakati hizi. Huu ujumbe wako ni kielelezo Cha kuchanganyikiwa.
ni muhimu zaidi kuepuka mihemko na makasiriko kwenye mambo muhimu kama hayo,

hilo ni muhimu zaidi ya nonsense kama hiyo koment yako
 
Haya ni mazingaumbwe tu. Baba Ruwa Ichi toa maelekezo. Hatukubali watatuulia baba zetu.
 
huenda kuna ugomvi binafsi dhidi ya kuingilia ndoa familia za watu
Nimepata habari hata wewe ni mtoto wa padri baba yako mlezi alibambikiwa! Mama yako akome kuwarubuni mapadri!
 
Not necessarily

You just got stuck in your own pot
Yeh. My pot, may be... is better than yours.... Katu huu ujinga wa watanzania wengi kuwa ''rais anaangushwa na wasaidizi wake'' au ''kuna watu wanataka kumharibia rais'' siyo chakula changu.
 
1. Huyu Muilo haaminiki katu! Msimuamini kabisa...........

2. kama alisema hawajui nani aliwakamata wanachama wa chadema mahakamani na kuwavunja vunja mifupa, huyu msimuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…