Polisi: Vijana wawili waliouawa Vingunguti, Dar ni Panyaroad

 
Sheria haina uwezo wa kuishape jamii isipokuwa bunduki pekee
 
Kashfa kubwa sana kwa polisi.

Aijipii ni muuaji. Polisi wanawazingira vijana wenye mapanga kisha wanasema vijana hao wawili walitaka kuwashambulia kwa mapanga kisha wakapiga risasi hewani zikawapata.

Rais wetu anapofumbia macho haya mauaji ya raia kwa kisingizio cha uhalifu, atakuja kustuka too late
 

Wameuwa Raia wasio kuwa na hatia, kuna watu naona washangilia, hii nchi tunasafari ndefu sana.
 
Kama kweli ni panya road nawapongeza jeshi la polisi na kuhimiza wananchi wenzangu kuendelea kujichukulia sheria mkononi kukabiliana na wahalifu wa aina yoyote ile.

Ila wakina mwigulu mnawshangilia?
 
Holy Crap
 

Nimesoma kommenti humu nimegundua kama taifa tunasafari ndefu.

Kwamba watu wanashangilia watu kupigwa risasi kwa kigezo cha kuwa ni waharifu?
 
Nilileta uzi huku juzi kwa namna ambavyo jeshi letu linafanya kazi bila weledi, yaani watu wanamapanga nyie mnawapiga risasi.

Hii inauzi sana
Wewe unaweza kukabilianaje na watu wenye mapanga? Unajua vitu vingine tusiongee kirahisi.

Waharifu wenye mapanga wakigoma kujisalimisha (wawe tayari kushambulia), wewe ungekuwa polisi ungecheka nao sio?
 
Utawala bora kwa Paka Pori? Kuwa serious ndugu.
 
Daah inaumiza lakini kuna Scenario chache sanaa Polisi wataamka waje kumpiga tu Kijana wa miaka 22 risasi...! Panya road ni tatizo ambalo halitakiwi kuumiza Vyombo vya usalama kichwaa kushindwa kulidhibiti ni matusi kwa jeshi la Polisi lakini Ukitumia sana demokrasia hili suala litawashinda polisi the hard way is the only way.

Nakumbuka hata Magu alipokuwa anachukua nchi alisema wazi kuhusu majambazi... hakuna kesi ya kupelekana mahakamani ya ujambazi na kweli ujambazi ulipungua sanaa kama sio kuisha. Mambo ya kuteka magari sijui kuvamia mabank yani iliisha kabisa.
 
Dada wacha maneno mengi mume anakusubir mule mwaka mpya kitandani
Kama una ndugu mwizi jambazi leta aliwe chuma akaendeleze wizi kuzimu
 
Wewe unaweza kukabilianaje na watu wenye mapanga? Unajua vitu vingine tusiongee kirahisi.

Waharifu wenye mapanga wakigoma kujisalimisha (wawe tayari kushambulia), wewe ungekuwa polisi ungecheka nao sio?
Aisee inawezekana polisi wana akili kama hizi pia
 
Haiingii akilini Polisi from nowhere wapige tu watu risasi tena Vingunguti! Kwa hili wanastahili pongezi otherwise watalaumiwa tena kwa kushindwa kuwadhibiti hao nguruwe pori!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…