Yeah japo itakuwa ni kutoelewanaVitu vingine ni vya kujiepusha navyo tu, hivi kweli umkwide police akiwa kwenye sare za kazi utegemee kusalimika?
Unaamini huyo Dr ameshambiliwa na wananchi?? Au nalo la kufatilia?Litafautiliwa!
UnatuudhiKisasi ni haki. Ila hiyo haki italipwa na Mwenyenzi Mungu.
Pale hapakuwa panashambuliwa udaktari kama kada nzima. Alishambuliwa mtu ambaye ni daktari.
Silipizi kwa lolote. Kwa sababu si madaktari wote wamefanya hivyo
Mada ni tetesi - tunakosa ushahidi wa kutosha kuijadili kama mada. Ndio maana ukifuatilia wachangiaji wengi wamejadiki chimbuko mkuuMada inasema polisi wamempiga daktari mpaka kulazwa, inamaana hoja ni daktari kupigwa. Angepelekwa mahakamani tusingejadili suala la kupigwa.
Adhabu haiwezi kujitenga na chimbuko.. kama kosa lingekuwa handled prudently tusingekuwa na the aftermath 'ambayo hata hivyo ni tetesi' kwani taarifa ya polisi imesema kapigwa na wananchi. Mtu mmoja anaweza kusema upnde wa Daktari unatafuta huruma ili utoke kwenye hii kadhia.Kujadili chimbuko sehemu inayotakiwa kujadili adhabu ndo chicken syndrome yenyewe mkuu. Yaani Ile jinai inayotendeka inatumika kama kichaka cha kuficha jinai ya mtoa adhabu.
Hii ni automatic nadhani hat kama ingekuwa marekani kumshambulia askari mwenye silaha kn duty inaweza kutriger shoot to kill reaction. I stand to be guidedAnother Chicken syndrome. Kwamba mvunja sheria hata angeuwawa kwa silaha ya askari suala lingekuwa kuvunja kwake sheria si kuuwawa.
No kuna namna watu wanadhani daktari hawezi kukosea; kuna watu wameenda mbali kusema ni mpole sana. Tusichotaka kukubali ni kiwa daktari anaweza kubaka, anaweza kuwa na msongo wa mawazo, anaweza ku over react nk . Kwa tukio hili mimi ninadhani alioverract na pengine ni mtu anayedharau sana watu wa kada ya chini..Kuku ndo wana hiyo tabia, hata iweje, kwenye akili ya kuku suala sio mchinjaji, suala ni kuku aliyechinjwa.
Ephen_ nakupenda mamaUnatuudhi
Upo sahihi kwenye makosa ya daktari, daktari kakosea kumpiga askari mwenye uniform akiwa kazini. Hilo lipo wazi mkuu, jambo ambalo halipo wazi ni matokeo ya jinai aliyoifanya. Je matokeo yapo kwa mujibu wa sheria? Amepigwa na askari au raia? Alipaswa kupigwa? Hiyo ndo mada ya kutengenezea hoja boss, sio jinai aliyoifanya.Mada ni tetesi - tunakosa ushahidi wa kutosha kuijadili kama mada. Ndio maana ukifuatilia wachangiaji wengi wamejadiki chimbuko mkuu
Adhabu haiwezi kujitenga na chimbuko.. kama kosa lingekuwa handled prudently tusingekuwa na the aftermath 'ambayo hata hivyo ni tetesi' kwani taarifa ya polisi imesema kapigwa na wananchi. Mtu mmoja anaweza kusema upnde wa Daktari unatafuta huruma ili utoke kwenye hii kadhia.
Hii ni automatic nadhani hat kama ingekuwa marekani kumshambulia askari mwenye silaha kn duty inaweza kutriger shoot to kill reaction. I stand to be guided
No kuna namna watu wanadhani daktari hawezi kukosea; kuna watu wameenda mbali kusema ni mpole sana. Tusichotaka kukubali ni kiwa daktari anaweza kubaka, anaweza kuwa na msongo wa mawazo, anaweza ku over react nk . Kwa tukio hili mimi ninadhani alioverract na pengine ni mtu anayedharau sana watu wa kada ya chini..
Kama alikuwa na haraka, utaratibu wa kuomba escort unafahamika.. alichokifany ni kosa, ni ujinga na ni mfano mbaya kwa jamii. Period
Wewe tulia vita ya polisi na madaktari au watoa huduma za afya haijawahi kuisha salama, kuna mkoa mmoja hii vita iliwahi kutokea polisi walinyosha mikono, huwezi kushindana na mtu anayedeal na uhai wako wakati wewe hujitambui pale hakuna mabavu, Tatizo la mipolisi yetu mingi inashindwa kutumia busara kila kitu yanawaza nguvu tu. kwa akili yako unafikiri madaktari wakiweka bifu unadhani kitatokea nini na kwa bahati mbaya polisi hawana hata standard hospital za kwao ambazo wanaweza kwenda kutibiwa. Hospitali ya maana kwao ni Baracks kilwa road. Bure kabisaWajaze upepo Sasa mwenzao asipokaa .akini watamfir# kabisa
Iko wazi;Upo sahihi kwenye makosa ya daktari, daktari kakosea kumpiga askari mwenye uniform akiwa kazini. Hilo lipo wazi mkuu, jambo ambalo halipo wazi ni matokeo ya jinai aliyoifanya. Je matokeo yapo kwa mujibu wa sheria? Amepigwa na askari au raia? Alipaswa kupigwa? Hiyo ndo mada ya kutengenezea hoja boss, sio jinai aliyoifanya.
Siyo kila mtu anajutia maamuzi yake, kwa mashuhuda jamaa alikuwa tayari hata kupigwa risasi afe!! Oyaa situation ilikua mbaya mbaya sanaKutibiwa wataenda hata kesho tu au usiku huu wapo baadhi wanatibiwa, ila Hasira siku zote mwisho wakw mbaya sana ni kama sasa mnaunga mkono kwa kuweka namna ya kudeal na hao polisi vituoni wakat jamaa alipo huko sasa yupo mwenyewe anajuata kwann alifanya vile vinamgharimu!!
simama kwenye nafasi yako,maisha ni kutegemeanaYule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic palke mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti,wanajeshi wakamchukua,hatujui walimpeleka wapi,na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU,sasa ndugu zangu polisi mnatambulika vizuri sana,tutaoneshana huku hospitali,kwanini msimfungulie mashitaka?
We kima lazima ulidisco Muhas..hahahqYeah japo itakuwa ni kutoelewana
Wakat mwingine police hulazimisha makosa
itakuwa Mmed yake alisoma MUHAS
CHUO cha kipumbavu sana kila
Kina focus na mitihani na stress
MUHAS ndo baba wa medical studies hapa bongo nyoso 😁😁, we liaa ukimaliza lalaYeah japo itakuwa ni kutoelewana
Wakat mwingine police hulazimisha makosa
itakuwa Mmed yake alisoma MUHAS
CHUO cha kipumbavu sana kila
Kina focus na mitihani na stress
It highly depends on what someone went through.Lakini kwa hali ilivyo sasa raia wengi bado wanaamini polisi ni adui zao namba moja.
Kama jambazi anayetumia silaha ya moto anauwawa, wewe unayetaka kupora silaha ya askari sheria haiwezi kukutetea.Another Chicken syndrome. Kwamba mvunja sheria hata angeuwawa kwa silaha ya askari suala lingekuwa kuvunja kwake sheria si kuuwawa.
Hoja ni Dr. aliyempiga Polisi, na yeye kupigwa. Asingempiga polisi, tusingejadili suala la yeye kupigwaMada inasema polisi wamempiga daktari mpaka kulazwa, inamaana hoja ni daktari kupigwa. Angepelekwa mahakamani tusingejadili suala la kupigwa.
Kama vile kosa la Polisi kuchomoa funguo lilivyokuwa linatumika kuficha kosa la Dr. kumpiga Polisi. Watu wengi walijadili chimbuko (kuchomoa funguo), wakaacha kujadili kosa la Dr (kumpiga Polisi). Kwahiyo, hiyo chicken syndrome ilianza mwanzo, acha iendelee.KUjadili chimbuko sehemu inayotakiwa kujadili adhabu ndo chicken syndrome yenyewe mkuu. Yaani Ile jinai inayotendeka inatumika kama kichaka cha kuficha jinai ya mtoa adhabu.
Askari aliyepata division three au four, huyo sio failure. Failure ni yule wa Zero. Alafu Unakuta Polisi alipata division three akiwa hukooo vijijini, huyo ni very bright.Polisi form four failure kama Saa100, wanataka kumuua Daktari Bingwa
Tumesikia upande wa Polisi, ni vema tukasikia na upande wa raia Daktari. Kati ya hao wote wawili kuna mmoja anaweza kuwa alianza kumpiga mwenzake.Kama jambazi anayetumia silaha ya moto anauwawa, wewe unayetaka kupora silaha ya askari sheria haiwezi kukutetea.
Hoja ni Dr. aliyempiga Polisi, na yeye kupigwa. Asingempiga polisi, tusingejadili suala la yeye kupigwa
Kama vile kosa la Polisi kuchomoa funguo lilivyokuwa linatumika kuficha kosa la Dr. kumpiga Polisi. Watu wengi walijadili chimbuko (kuchomoa funguo), wakaacha kujadili kosa la Dr (kumpiga Polisi). Kwahiyo, hiyo chicken syndrome ilianza mwanzo, acha iendelee.
Wote watakuwa victim. Kila mtu anaweza kufanya alichojaliwa.Rais wa MAT na IGP wakutane asee wayajenge nyuma ya pazia polisi watakuwa victim wakubwa kama hili bifu litaenda next stage
Sifurahii kwa lolote lakini hizi pande mbili zikae mezani wamalize tofauti zao