Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza

Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.

Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.

Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Huyu mwamba alishaivuka hatua ya kutishwa miaka mingi ili mradi anachokifanya au kukiendea hakivunji sheria...

Na kwa hili, serikali inakosea sana.

Kama walikuwa hawataki mikutano ya siasa ya vyama vya siasa, wangeipiga marufuku kote nchini kama alivyofanya mwendazake Magufuli..

Sasa kote huko CHADEMA imefanya mikutano salama na kwa amani, iweje Loliondo na Ngorongoro iwe shida? Kuna nini kinachofichwa huko kiasi cha wanasiasa wasiende kuonana na wananchi wa huko na kuzungumza nao? Au Loliondo na Ngorongoro sio Tanzania na CHADEMA haipo huko?

Mimi sioni sababu za kumzuia. Kama kuna siri za Rais Samia Suluhu Hassan huko, basi lazima ziwekwe wazi sasa!!

Tundu Lissu na CHADEMA msikubali kuwa indimidated. Kama Loliondo na Ngorongoro ndiko kunakopaswa kufunguliwa lile box lenye siri ya ukombozi (Pandora box), basi liende likafunguliwe huko..
 
Huyu soon atapandishwa Cheo ameonesha ujasiri
 
Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.

Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.

Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Mbona alikimbia baada ya uchaguzi!?
 
Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.

Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.

Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Lissu kafanya mikutano robo nzima ya Nchi.
Loliondo kunani?

Au tukate Visa?
 
Write your reply...lisu ngoro2 kunann? Anataka utalii?C wamruhusu kwa vibali ya utalii wa ndani?C kila jambo siasa.kule hakuna watu wameambiwa waende msomera fulstop.
'kule hakuna watu,wameambiwa waende Msomera'.Yaani hakuna watu,halafu wameambiwa waende Msomera... Bilashaka Tundu,anajua kua kuna watu,na aachwe aende.
 
Nawaza isije kuwa kun Meckanzie wa kenys huko ngoro
 
Unadhani Ngorongoro ni kama kwenda Mbagala...!! Pale getini atapitaje? Akipita kinyemela atachukuliwa kuwa ni jangili... asubiri 2025. Ngorongoro ni eneo linaloiletea nchi fedha nyingi za kigeni na halipaswi kuvurugwa na siasa za kipumbavu za kina Lissu na genge lake. Kama yeye ni shujaa aende akafanyie mkutano wake pale Lugalo au Monduli TMA. Akijifanya kichwa ngumu hakuna rangi ataacha kuona kwa askari wa Ngorongoro... Askari wa kule wafanye kazi ngumu ya kulinda wanyama na bado wapoteze muda na mtu msumbufu kama Lissu?
 
Walimwambia akitoka Ubelgiji akitua JNIA wanamalizana naye pale pale aisee niliogopa sana hadi nikasema bora jamaa asirudi.... Mshkaji alirudi mchana kweupe mapokezi yalijaa dar nzima.
 
Kwa nyie mafia Paka anathamani kuliko binadamu .... hapa unawakilisha roho ya mauwaji.....ushetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…