Polisi wamgomea Lissu kufanya mikutano Ngorongoro, yeye asema ataenda kwani sehemu hiyo sio Gereza


Inasikitisha sana,tumemwachia Lissu pekee
 
Na hili mkalitafakari
 
Mnamuunga mkono? si mnakaa kwenye key board mnamsakizia tu. Lissu kumbuka yaliyomkuta Yesu, waliomwimbia hosana hosana kesho yake wakasema asulubiwe, bora aachiwe jambazi Baraba lakini Yesu asulubiwe. Uko tayari??
 
Maandishi na video clips havipotei. Kuna mtu alisema makaburi yataulizwa
 
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Ona upuuzi kama huu hapa.

Mtu anajiamria tu bila kufuata misingi yoyote ya kisheria, na watu wanatakiwa wakubali tu ujinga wa namna hii!

Hali ya namna hii ndiyo inayotawala kote nchini, wananchi kutakiwa kufuata tu maagizo, hata kama ni ya kipumbavu!
 
Kama Magufuli alishindwa kumzuia TUNDU LISSU,sidhani kama Kuna mwingine ndani ya nchi hii mwenye uwezo huo!SIDHANI.
 
Huu mkutano wa Ngorongoro na Loliondo ni wa kimkakati...serikali itumie busara na sio nguvu.

Wajue tu Lissu haogopi kifo ni mfufuka hivyo hana cha kupoteza.

Huyu simba hazuiliki...wakileta ujinga wasubirie kisu toka EU
Ni serikali iliyojaa wajinga tupu, wengi wao wakijihesabu kuwa ni wahitimu wa fani ya sheria.
Mtu kama yule 'Ngumbaru' sijui 'Ngumboro' anataka waTanzania wakafunzwe Katiba miaka mitatu,... muda wote huo, watapewa shahada ya kuhitimu sheria?

Ni vizuri haya yanayofanyika sasa yanawaondolea waTanzania woga wa kutohoji ujinga unaofanywa na serikali isiyokuwa na nia njema kwa nchi.
 
Samia kuna kitu anakitafuta Tanganyika! na atakipata siku si nyingi! . Kuchonganisha dini ni zaidi ya uhaini. Lengo ni nini!? Atakuwa rais wa kwanza kumaliza kwa aibu! afadhali mwenzake aliamua kufariki!
 
Hao mafalla wanatuona hatunazo, ujumbe wanaotupa ni kuwa hawako tayari kuandika katiba mpya.

Mimi naona tuna upinzani dhaifu, tulipaswa kuwa road kama Kenya kwa uongozi wa upinzani
 
Hao mafalla wanatuona hatunazo, ujumbe wanaotupa ni kuwa hawako tayari kuandika katiba mpya.

Mimi naona tuna upinzani dhaifu, tulipaswa kuwa road kama Kenya kwa uongozi wa upinzani
Kwa bahati nzuri, au mbaya Tanzania siyo Kenya.

Mimi naamini kwa dhati kabisa sasa kwamba sisi tutatumia njia tofauti kabisa na zile za Kenya kufikia lengo la kupata Katiba Mpya. na kuondokana na hiki chama cha CCM moja kwa moja.

Wakati huo umefika sasa, tusipoteze fursa hii aliyotupa Samia.
 
Samia anapendwa na Nani!
Hebu watu kuweni serious, we umeenda wapi ukakuta watu wanasema wanampenda hangaya?
Huyu mama mkimuweka agombee 2025 atawapa kazi kubwa sana ya kuiba kura, na msipokuwa makini hiyo kazi itawashinda.
 
Naam naam
Naona sasa serikali imeshajichokea kuona uhuru wa kukusanyika.
 
Kama Magufuli alishindwa kumzuia TUNDU LISSU,sidhani kama Kuna mwingine ndani ya nchi hii mwenye uwezo huo!SIDHANI.
Ogopa sana mtu mwenye dola. Hao wenzetu hawachelewi hata kuua ili waendelee kusalia na madaraka.

Mungu awasaidie wawe na ufahamu na hekima katika kutuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…