Marshall plan
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 644
- 982
Nenda kampokee kamanda wenu tena muandamane Dsm nzima kwani polisi kitu gani mbona simple tuUshauri wangu polis na chadema kaeni meza moja mjadili njia atakazotumia lissu kupita, viongozi Wa chadema nendeni kwa mambosasa mjadiliane, muda, Massa yatakayotumika kumpokea lissu ili shughuli zingine ziendelee.
Kwa polis litakuwa jambo LA ajabu na aibu sana kukamata RAIA au kupiga kisa kumpokea MTU uwanja Wa ndege ambayo Ni haki yake.Chondechonde polis msitusababishie ya Zanzibar 2001 ambapo rais mstaafu mpaka anaondoka anajutia.
Hili LA chadema wakikaa mezani inawezekana.
Hata Diamond huwa anapokelewagaPolisi wa Tanzania wanaenda kuingia kwenye rekodi chafu sana. Wasipoangalia wanaenda kuiingiza hii nchi kwenye matatizo makubwa sana.
Hakujawai kuwa na kibali cha mapokezi ya mtu hapa Tanzania kila siku tunawapokea Simba na Yanga na wala hakuna kibali chochote cha kuwapokea polisi wanahitaji
Mbona kina diamond hupokelewa airport na umati wa watu na hatujawahi kuona polisi wakipiga marufuku?
Nenda kampokee kamanda wenu tena muandamane Dsm nzima kwani polisi kitu gani mbona simple tuexpand...
Naona polisi wanazidi kupalilia hasira za wananchi juu ya CCM. Hongera kwao maana bila matendo haya CCM haiwezi kutoka madarakani hapo October 2020
Nenda kampokee kamanda wenu tena muandamane Dsm nzima kwani polisi kitu gani mbona simple tuexpand...
Kwa ni wakiomba hicho kibali kinatakiwa kuwekwa mtandaoni? Na kama unataka kujua kama mapokezi hayo ya Husein mwinyi yalikuwa na kibali nenda huko police zanziba kisha utapata majibu.Kwanza kuna kuomba ruhusa kumpokea mtu??? Mapokezi ya Simba na Yanga uwanja wa ndege yanakuwaga na maombi kwa polisi???
Mapokezi ya Hussein Mwinyi Zanzibar juzi waliomba ruhusa polisi???
Nishawasili mapema sana, Niko airport nashughulikia protocol Mkuu, kumbuka jpm kasema polis wasitumie nguvu pasipostahili nguvu, litakuwa jambo la ajabu sana polis kupiga RAIA kisa kuja kumpokea MTU, simba na yanga twawapokea kila Sikh airport.kwa busara viongozi waende wakamwone mambo sasa wapangane njia za kupita na mudaNenda kampokee kamanda wenu tena muandamane Dsm nzima kwani polisi kitu gani mbona simple tu
Halafu wanataka wakusanyike
Pamoja na kwamba hata wangeomba wangenyimwa ila at least wangekua wamefuata sheria
Tatizo kubwa mawaziri Wa hii wizara bado Ni mizigo tu, polis waelekezwe sio kila jambo Ni LA kutumia nguvuNaona polisi wanazidi kupalilia hasira za wananchi juu ya CCM. Hongera kwao maana bila matendo haya CCM haiwezi kutoka madarakani hapo October 2020
Ndio wameomba ruhusa!
Hakuna mkusanyiko mkubwa wa watu unaoruhusiwa bila kibali cha polisi
Msitake kupotosha, tunajua fika kuwa hizo ni figisu za siasa chafu kwakuwa ni Lisu, ila ingekuwa kiongozi wa ccm bila hata kibali angepokelewa kwa mbwembwe. Tena ingekuwa ni kiongozi wa ccm kisha akute watu wameenda kumpokea kwa ridhaa yao, angefurahi ile mbaya.
Hilo la kuzuia yeye kupokelewa na wafuasi wake tulilitarajia, kutokana na mshindani wake hataki kuona jambo litakalomuumiza roho. Hiyo tunaita ni kutumia madaraka kupambana na wivu wa kisiasa.
Mimi sio polis mimi ni mwananchi wa kawaida kama wewe
Hata wakati TL anashambuliwa nilikua Dodoma na wote tulikua kwenye mshangao(pigwa bumbuwazi??)
Ila ninaongea ukweli. Kwamba wangeomba hicho kibali wanyimwe basi
Halafu atakuja kutushtakia sie wananchi na tar 28 Oct tunakua "wajumbe"
Ngoja wapeleke barua usikie ramli zitakazopigwa
Hakuna uwezekano wowote wa wao kupewa kibali chochote, maana rais aliyepo hampendi Lissu. Sasa hivyo vyombo vya dola vingetumika tu kutokuwa hicho kibali. Sio mara moja au 2 vibali vinakataliwa kutolewa kwa sababu za kisiasa.
Endelea kuipenda tu serikali yako. Kuna kitu mnakitengeneza na majibu yake mtayapata soon.Hapa ndo huwa naipenda serikali yangu na jeshi langu la polisi,eti mpuuzi mmoja aliyekuwa akila bata ughaibuni achafue nchi yetu kwa upuuzi,vunja miguu hao watakao sogeza pua zao kumpokea huyo mpuuzi lissu