Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Binadamu akionewa sana siku zote hutafuta njia yake. Kuna kitu CCM mnakitengeneza endeleeni kukitengeneza na soon mtakipata. Unafikiri Omar Al Bashir alifikaje mwisho???Nimewaambia mnataka kuwapa akina ACP&SACP umaarufu tu kama ilivyokuwa kwa Gilles Mroto.
Hao aliowaomba wamhakikishie ulinzi akirudi watamwambia usalama wake uko hatarini kwenye hayo mapokezi na story inaishia hapo.
Hizo T shirts zenu jiandaeni kuzifanya pajamas ama mzilegeze shingoni ziwe za kunyonyeshea.ππ!
Bado sana!!
Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020.
Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini hakuna haki bila wajibu, hivyo wamewataka viongozi hao kufuata sheria.
Aidha jeshi la polisi limesema linafuatilia wanaosambaza ujumbe wa kuhamasisha wanafunzikugoma kwa kutoingia madarasani ili kushinikiza Bodi ya Mikopo kurejea masharti ya mkataba ya fedha ya kujikimu.
Polisi wamesema hawatasita kuwachukulia hatua wanaokiuka sheria, kwa kuitisha mikusanyiko na maandamano yasiyo na Baraka za kisheria, hivyo wamewataka wanafunzi wafuate njia stahiki za kufikisha malalamiko yao na sio kukiuka sheria.
View attachment 1516564
View attachment 1516567
Labda kizazi kijacho siyo hiki cha sasa!Binadamu akionewa sana siku zote hutafuta njia yake. Kuna kitu CCM mnakitengeneza endeleeni kukitengeneza na soon mtakipata. Unafikiri Omar Al Bashir alifikaje mwisho???
Si ndo hapooooo?Kwanza kwenye mapokezi ya Hussein Mwinyi Zanzibar na Pemba ilikuwaje juzi???
Mpuuzi wewe watu tuko kwenye msiba unaleta siasaBinadamu akionewa sana siku zote hutafuta njia yake. Kuna kitu CCM mnakitengeneza endeleeni kukitengeneza na soon mtakipata. Unafikiri Omar Al Bashir alifikaje mwisho???
Ukweli lazima usemwe hata kama unauma kiasi ganiMpuuzi wewe watu tuko kwenye msiba unaleta siasa
Sio kwamba hawana weledi,wapo watu wanavuruga kwa makusudi,chunga sana watu wanaojifanya wanapromote maandamano put them on screen you might find their true color.Ina maana hawakuomba kibali cha maandamano mpaka Leo? Mbona kama hawana weledi?
TutampokeaUsie soma ni we we, na Kama ulisoma basi ujinga haujakutoka kichwani!
Dada nenda kampokee Lisu bila kibali cha kukusanyika then utatupa mrejesho hapa
Wewe usiyekuwa na akili, Hakunaga kibali cha kwenda kumpokea mtuNdio maana tunasema huko CDM hakuna weledi tena, yaani fujo za threads kwenye mitandao zimejaa, kumbe hata ruhusa hawajaomba!!
Kuna watu wanataka kuwatanguliza wenzao kichwa kichwa kwa ajili ya kupata Kiki
Poleni sana, yaonekana wiki hii usingizi haujiNimewaambia mnataka kuwapa akina ACP&SACP umaarufu tu kama ilivyokuwa kwa Gilles Mroto.
Hao aliowaomba wamhakikishie ulinzi akirudi watamwambia usalama wake uko hatarini kwenye hayo mapokezi na story inaishia hapo.
Hizo T shirts zenu jiandaeni kuzifanya pajamas ama mzilegeze shingoni ziwe za kunyonyeshea.ππ!
Bado sana!!
Maandamano ya nini wao wamesema wanaenda kumpokea lissu kama vile ilivyopokelewa club ya Simba ikitokea Mtwara baada ya kupokea kombe lao la ligi...wasio kuwa na weledi ni hawa waliotoa andiko lisilokuwa na kichwa wala miguu..walivyo vilaza hata anayepokelewa wanajitoa akili eti hawamtaji jina...kisa maelekezo kutoka juuIna maana hawakuomba kibali cha maandamano mpaka Leo? Mbona kama hawana weledi?
π π Intelijensia yetu inaonesha....Ngoja wapeleke barua usikie ramli zitakazopigwa
Club ya Simba walivyopokelewa juzi wakitokea Mtwara baada ya kubeba kombe la ligi waliomba kibali..acha kuwa na akili kama za geshi la polithi kama kweli wewe sio lumumbaHalafu wanataka wakusanyike
Pamoja na kwamba hata wangeomba wangenyimwa ila at least wangekua wamefuata sheria
RUHUSA YA NINI..TUMIA AKILI WEWE...TANGU LINI MTU AKAOMBA RUHUSA YA KUMPOKEA MTU...Ndio maana tunasema huko CDM hakuna weledi tena, yaani fujo za threads kwenye mitandao zimejaa, kumbe hata ruhusa hawajaomba!!
Kuna watu wanataka kuwatanguliza wenzao kichwa kichwa kwa ajili ya kupata Kiki
Unakumbuka Jafo alimhamisha mtaalamu kisa hakukuwa na watu wakati anazindua barabaraMsitake kupotosha, tunajua fika kuwa hizo ni figisu za siasa chafu kwakuwa ni Lisu, ila ingekuwa kiongozi wa ccm bila hata kibali angepokelewa kwa mbwembwe. Tena ingekuwa ni kiongozi wa ccm kisha akute watu wameenda kumpokea kwa ridhaa yao, angefurahi ile mbaya.
Hilo la kuzuia yeye kupokelewa na wafuasi wake tulilitarajia, kutokana na mshindani wake hataki kuona jambo litakalomuumiza roho. Hiyo tunaita ni kutumia madaraka kupambana na wivu wa kisiasa.