KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Wasiokuwa na usingizi nchi hii wanajulikana labda kama unajifariji tu.Poleni sana, yaonekana wiki hii usingizi hauji
hapo ndio utagundua mbwa ni mbwa hata umpe jina ...Ina maana hawakuomba kibali cha maandamano mpaka Leo? Mbona kama hawana weledi?
Hao wanafunzi hata mi siwaelewi kwanini wanataka kuandamana? Kuhusu kumpokea mtu sidhani kama inahitaji kibaliIna maana hawakuomba kibali cha maandamano mpaka Leo? Mbona kama hawana weledi?
Club ya Simba walivyopokelewa juzi wakitokea Mtwara baada ya kubeba kombe la ligi waliomba kibali..acha kuwa na akili kama za geshi la polithi kama kweli wewe sio lumumba
Sio rais tu ,hata raia,kwani lissu ni nani hadi apendwe na kila mtu? Pesa yenyewe tu kuna baadhi wanaichukia màana imewaletea madhara makubwa,ije kubwa huyu rais wenu wa mitandaoni?Hakuna uwezekano wowote wa wao kupewa kibali chochote, maana rais aliyepo hampendi Lissu. Sasa hivyo vyombo vya dola vingetumika tu kutokuwa hicho kibali. Sio mara moja au 2 vibali vinakataliwa kutolewa kwa sababu za kisiasa.
Hapana, anakuja anakataa. Anakuja anakataaMmmmh kumbe anakuja kweli?[emoji848][emoji848]
Sio rais tu ,hata raia,kwani lissu ni nani hadi apendwe na kila mtu? Pesa yenyewe tu kuna baadhi wanaichukia màana imewaletea madhara makubwa,ije kubwa huyu rais wenu wa mitandaoni?
Tena naamba ajichanganye tummalize mapema sana
Maandamano ya nini wao wamesema wanaenda kumpokea lissu kama vile ilivyopokelewa club ya Simba ikitokea Mtwara baada ya kupokea kombe lao la ligi...wasio kuwa na weledi ni hawa waliotoa andiko lisilokuwa na kichwa wala miguu..walivyo vilaza hata anayepokelewa wanajitoa akili eti hawamtaji jina...kisa maelekezo kutoka juu
Waliplan kutokuomba ili wakizuiwa ionekane wameonewa!Ina maana hawakuomba kibali cha maandamano mpaka Leo? Mbona kama hawana weledi?
Kweli kabisa kutwa kucha mnaweweseka.Wasiokuwa na usingizi nchi hii wanajulikana labda kama unajifariji tu.
Hakuna anaye omba mauti, lakini kwa busara za kawaida hii ni bahati mbaya kwa ujio WA Lisu and na so called mapokezi ya Lisu. Kifo na maombolezo ya kifo cha BWM is a national event. Lakini ujio wa Lisu siyo. Pasipo kutarajia wala kupanga police sasa wamepata legitimate reason ya kuzuia mkusanyiko wa mapokezi ya Lisu.Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020.
Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini hakuna haki bila wajibu, hivyo wamewataka viongozi hao kufuata sheria.
Aidha jeshi la polisi limesema linafuatilia wanaosambaza ujumbe wa kuhamasisha wanafunzikugoma kwa kutoingia madarasani ili kushinikiza Bodi ya Mikopo kurejea masharti ya mkataba ya fedha ya kujikimu.
Polisi wamesema hawatasita kuwachukulia hatua wanaokiuka sheria, kwa kuitisha mikusanyiko na maandamano yasiyo na Baraka za kisheria, hivyo wamewataka wanafunzi wafuate njia stahiki za kufikisha malalamiko yao na sio kukiuka sheria.
View attachment 1516564
View attachment 1516567