Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

Umezunguka, tofauti na hoja yangu. Raisi anapotoshwa vipi na yeye akakubali? Hapa ndio hoja yangu ilipo

Kama anakubali sababu ya fadhila kama unavyosema, basi hapo hajapotoshwa bali analipa fafhila. Hilo ni tatizo lake
 
Umezunguka, tofauti na hoja yangu. Raisi anapotoshwa vipi na yeye akakubali? Hapa ndio hoja yangu ilipo

Kama anakubali sababu ya fadhila kama unavyosema, basi hapo hajapotoshwa bali analipa fafhila. Hilo ni tatizo lake
kapotoshwa kupitia fadhila mkuu
 
Kaongea tu maoni yake km Mtz wa Kawaida tu km wewe.
Mpk hapo alipo hamna nafasi yoyote atagombea.
Pesa za mboga alipewa tu na kakaake.
 
Tibaijuka kaongea ukweli woote, na ni jambo litakalotrend sana kwenye kampeni. ningekuwa ni mimi sa100 ningesubiri nishinde uchaguzi ujao ndio niwalete waarabu. hii ni tiketi nzuri sana kwa chadema, labda wabadilishe terms za mkataba. na hata hivyo hatujaona mikataba mingine 31 waliyoingia na waarabu. ila kuna siku tutaiona tu.hii dunia ni ndogo sana.
 
Nilisikiliza kipindi hicho na alifadhaishwa (nami nilifadhaika mno) kuonda vijana, Edo na aka mzee wa Kaliua, wakiwa hawajiamini hasa katika kutetea Taifa.
 
 

Attachments

  • 198CAC07-08CF-4016-9CB6-2AD07D0DB30E.jpeg
    50.6 KB · Views: 1

Majibu ya zenji hadi raha kiongozi mkubwa ameongea leo.
Dakika ya 9.15 hadi 12
 
Viongozi wengi kama siyo wote wanatabia ya uchama.
Wao hata kama jambo ni baya kiasi gani ilimladi nimeletwa na chama chao wao ni kulitetea kwa nguvu zote.
 
Asante prof!
 
Crap from a low mind.
 
Halafu yeye mwenyewe ndio mwizi kupindukia
Halafu mrundi huyu, huyi ni adui wa tanzania tumpige vita
 
haimashi kwamba kwa sababu ni rais mwanamke hawezi kupingwa na wanawake wenzie kwa hoja, haya ni maslai ya taifa
 
Kwer wew ni Andazi
 
Porojo za mitandaoni zisikutishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…