Prof. Assad: Mfumo wa Siasa una shida. Huwezi kuzungumzia Kilimo wakati huna Mabwawa

Lakini sisi sio tena nchi ya kilimo tulikuwa ya viwanda, sasa hivi tunasikilizia tuhamie wapi🐒
Harafu anapozungumzia kilimo ni Mazao gani yenye tijaku justify return ya investment? Kwa kuwa kilimo ni cha kujikimu hivi hivi inafaa tupeleke nguvu kwenye sekta zenye tija kiuchumi.

Mwisho sio tuu mabwawa bali barabara hakuna,masoko na viwanda vya kuongeza thamani hakuna so hata ajenge mabwawa lazima kuwe na forward and backward linkage chaining
 
Huy
Huyu mzee anazeeka vibaya sana
 
Hili suala la mawaziri kuzunguka mikoani mfano stendi za mabasi kukakugua tiketi lidhibitiwe kupunguza matumizi ya serikali hasa kipindi hichi ambapo kuna mjadala mkali kati ya kukopa zaidi au kuongeza tozo.
🤝🤝👌👌👌👌💪
 
Prof. Yupo right serikalini hakuna jibu discrption ambayo mtumishi anasaini na kupewa KPI ambazo atapimwa nazo watu wanapanda madaraja nakupatiwa vyeo kwakuaa muda mrefu kazini au kwa upendeleo kufahamiana na nafasi za kiutendaji wanapewa Makada out of merits mwishowe ni siasa kila eneo lakiutendaji na hakuna matokeo makubwa
 
In Inasikitisha kuhuzunisha kama sio kukatisha tamaa kabisa.
 
Juma aweso! Ukiona waziri anazunguka huko na huko lakin matatizo yamebaki palepale, jua tu anatafuta mboga na si kutatua matatizo ya wananchi. Kuna prof mkenda pale kwenye kilimo nambien amesaidia nn pale
 
Ikitokea chama cha siasa kikakomaa na hoja ya kilimo na wakulima, kitaing'oa CCM mapema asubuhi.
Hili nakumbuka ni jambo ulikua unalisema mkuu..kuna shida mahali kwenye serikali kutokua responsive ,kama ni ushauri serikali inapata sana , ni inaignore tuu...I guess Maxence Melo tuwaite clubhouse waziri wa maji na wa kilimo tujadili huko clubhouse
 
Nakunywa juice Kwa ajili ya maoni haya ambayo hata Mimi binafsi naamini kama Prof Assad. Wiki iliyopita niliweka andiko langu kuhusu matumizi mabaya ya fedha za Umma yanayofanywa na Mawaziri na manaibu Waziri Kwa misafara mikubwa ya magari Kwenye ziara zisizo na tija.
 
Daaaah huyu jamaa ni kichwa. . Ni assert za nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumesema sana lakini inaonekana hakuna anayesikia. Kuna haja ya kuwa na mijadala kama hiyo na hawa watu.
 
Mwambia pia kuwa mawazo yanafanana so mtu anaweza kutoa wazo ukaona kakuibia kumbe naye aliwaza kama wewe wakati fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…