Watanzania tuna shida mahali, kwa nchi za dunia ya kwanza wakulima na wafugaji ndio matajiri ila huku kwetu ndio low incomer na watu wa hovyo.Wakulima wanachukiliwa kama ni Watanzania wa daraja la mwisho. Nobody cares about them zaidi ya kuwaimbia mapambio ya kisiasa tu.
Tangu lini mwafrika akawa na akili ya kujiongoza mwenyewe, hawa viumbe ni special species ambao wana element ya kutawaliwa na kuongozwa.Ila kuna mradi ulitengenezwa chini ya ufadhili wa wajapan kapunga rice project
Naona tulipoachiwa tukauaaa
Ova
HahahaHizi sasa ndizo kazi za hao wakurugenzi, sijui wakuu wa wilaya nk. Ila kiuhalisia hawafanyi na wamekaa kisanii zaidi. Unakuta eti mkuu wa wilaya ya Temeke anaongoza sijui jogging, au anakodi wenye ma-blog wampigie debe kwenye mitandao, usanii kwa kwenda mbele.
Bodaboda tunawajitaji lakini sasa imekuwa fujoNchi hii takribani asilimia 70 ya watu wake wanafanya kazi kwenye kilimo na wanaishi vijijini lakini huoni jitihada za kueleweka za watawala kwenye hiyo sekta. Utapunguzaje umaskini, umachinga uliokithiri na bodaboda kama huwekezi serious kwenye Kilimo!
Suala la Rais na mawaziri kuzunguka mikoani linashabikiwa na raia wengi tu na wanaona huo ndio uchapakazi.Kuna watu hawataki kabisa kusikia kazi za Rais na mawaziri ni za ofisini zaidi na sio kuzunguka vijijini au mitaani, hawaelewi kwa nini kuna watendaji wa kata, Halmashauri, DED , mkuu wa wilaya na mkoa au majukumu yao ni yapi ndio maana unaweza kukuta waziri anakagua tiketi za mabasi stendi au anatatua mgogoro wa shamba kijijini! Huwezi kuendesha nchi ya watu milioni 60 kwa namna hii na ikasonga mbele.
Walipiga sana ili kumtangaza vizuri Mzee Baba.Wanatumia media bias kuongeza point za kisiasa, mfumo wetu wakisiasa haukopoa of course. Haya maigizo yalikuwa mengi sana kipindi flani media hasa clouds walipiga mpunga wa maana sio mchezo
Bodaboda tunawahitaji kwa sababu sekta ya usafiri wa umma bado iko vibaya sana ila ukweli ni kwamba bodaboda hazipaswi kusafirisha abiria bali zinapaswa kuwa za matumizi binafsi kwa sababu ni hatari sana hata kama dereva amefuzu na yuko makini.Bodaboda tunawajitaji lakini sasa imekuwa fujo
Kama akili unamaanisha kutafuta vichocheo vya uchimi wa kijamii na kutengeneza nchi ya kizallendo.Inawezekana sehemu kubwa ya nchi yetu watu wake wana uwezo mdogo sana kiakili na kufikiri kwa logic.
Pia Karne ya 21 bado watu wanalima kwa majembe ya mkono, ngombe na punda!Karne ya 21 eti bado kuna watu wanabeba ndoo na kwenda kuchota maji na kumwagilia wakati sehemu kama Jordan walianza irrigation system miaka 8000 iliyopita na Egyptian walianza 3100 BC
Huyo alieambiwa alikuwa anazunguka kutafuta posho tu ni kweli kabisa
Wote wanajua duniani kuna canals na wa Misri walichimba kwa ajili ya umwagiliaji na kupitisha bidhaa zao pia
Ila sisi miaka yote hii tumejifunza kutesa na kula rushwa na kuiba tu
Acha tuwe tunasoma au kutembelea nchi zilizojiendeleza na kuona sisi tukiishi kama wanyama wa Serengeti tu ili mradi tuzaliane tu
Siyo kila msomi anaweza kuyafanyia kazi mawazo yake wengi mpaka wapate nguvu kutoka upande mwingine.Umejiaminisha kabisa msomi kama huyu hakuwa analijua hili ila alisoma mada yako JF? Hivi unajua huyu anajishughulisha na kilimo na haya anayozungumzia ni mambo anayo-experience kwenye site? Pia jua hili la kilimo cha umwagiliaji limeshasemwa siku nyingi sana ila ni wanasiasa tu ndiyo hawajui? Tafadhali usijipe credit za uongo.
Pro Assad, huyu ndio maana halisi ya msomi, sio wale wakuokotwa majalalaniView attachment 2065734
Prof.Assad ametoa maoni yake kuhusu mfumo wa siasa wa nchi yetu. Siasa yetu inatufanya tusiwe na malengo yanayopimika. Anashangazwa na waziri kuzunguka kuchukua kero za wananchi wakati Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya wapo huko. Anasema labda sababu ni kupata posho tu.
Anasema watu wanazunguka kutaka ku score point za kisiasa tu.
Amegusia kuhusu kilimo. Anasikitika sana kuona kilimo kinaimbwa wakati hakuna mabwawa ya kutosha. Anashangaa serikali imeacha maji yaende baharini/ziwani kama vile bahari ndio ina shida na maji kuliko sisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa wanaotuongoza wanatoka katikati yetu pia, hawatoki sayari ya Mars au Jupita, kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa wanaakisi sehemu kubwa ya watu wa nchi hii.Huwa inauumiza sana,kuona namna tunavyo ongozwa na watu wasio na Vision,hawana ubunifu wala sera.
Wanawaza per diems pekee..wananchi wanaogelea kwenye UMASKINI wa kutupwa..
Pia Karne ya 21 bado watu wanalima kwa majembe ya mkono, ngombe na punda!
Comment hii ina ukweli mtupu na ni ya kibabeTangu lini mwafrika akawa na akili ya kujiongoza mwenyewe, hawa viumbe ni special species ambao wana element ya kutawaliwa na kuongozwa.
Mfano mwingine ni vile viwanda tulivyoachiwa na wakoloni vyote vimekufa, viongozi waliingia tamaa wakaviuza kwa wahuni, wahuni wakang’oa mashine na kuvitelekeza.
Bongo kipaumbele,platform kubwa sahv wanapewa wasanii wakata maunoNi jambo la kusikitisha sana
Katika binadamu ambao hawawezi kutumia akili ni baadhi ya waafrika na sisi tukiwemo
Fikiria unasikia eti kuna watu wameliwa na Mamba wakikatisha mto tena ukiuona sio mpana hivyo
Miti imejaa nguvu kazi ipo kamba zipo
Ila kutengeneza kivuko hawajui kabisa
Ila kwa uvivu ni rekodi ya dunia